mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  2. D

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya pamoja ni ushahidi tosha vyombo vilijipanga kuua: Ni mazoezi kama ya Intarahamwe na vikosi vya ulinzi Rwanda 1993-1994

    Kutangulia mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994, katika mitaa yote ya Rwanda kila mara kulikuwa kukifanyika mazoezi ya pamoja na utayari yaliyojumuisha vikosi vya majeshi ya serikali ya Rwanda na wanamgambo wa Kihutu, walioitwa Intarahamwe (kama green guards wa CCM). Baada ya kupita...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufanyike nini wapiga kura tutoke? Hayo mazoezi ya majeshi yanatutisha, waandamanaji nao vilevile!

    Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni mazoezi

    Vijana Mimi Nina mwezi Sasa nafanya mazoezi ya hatari maana toka nimetoka jkt sijawai kufanya mazoezi Kama mwezi huu. Najiweka fit mno na nipo fit Sana kiasi kwamba atakayejichanga tarehe 29 kitampata kitu. Nimefanikiwa kununua Lita 5 za petrol, Bunda la viberiti, Elementi, na vifaa vingine...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Askari wa majeshi mbalimbami wafanya mazoezi ya kujiimarisha barabarani

    Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi. Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanakashutumu haka kajamaa kanakotuambia tupige mazoezi 😂

    Explain more..
  7. JamiiForums Tanzania Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

    Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

    Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo. Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache. Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya...
  9. JamiiForums Tanzania NHIF na Mikakati ya Uzuiaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kupitia Mazoezi ya Mwili kwa kuingia mikataba na baadhi ya GYM

    Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ab roller kifaa cha mazoezi

    Habari zenu mabibi na mabwana!! Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia? Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila...
  11. JamiiForums Tanzania kuanzia miaka 30 kwenda mbele mwili hufika kikomo cha ukuaji, sasa apa mazoezi ndo yatakuokoa

  12. JamiiForums Tanzania Napendekeza, kwa ajili ya usalama barabarani mazoezi ya kukimbia mbio za marathoni yafanyike kwa njia ya mtandao

    Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
  13. JamiiForums Tanzania Nazidi kuwakumbushia kufanya mazoezi hali ni mbaya sana

    https://www.jamiiforums.com/threads/kama-bado-upo-kwenye-ujana-jitahidi-sana-kufanya-mazoezi.2359916/
  14. JamiiForums Tanzania Mangungu: Tumekubaliwa mazoezi na hatutambui mechi nyingine tofauti na June 15, Mangungu huyohuyo baada ya kulamba chai ya ikulu, Kageuka!

    Aliyeandaa hii barua na kusisitiza hakuna mchezo mwingine tofauti na JUNE 15 na kwamba wamekubaliwa kufanya mazoezi katika dimba la mkapa na kesho watapeleka timu, Mara ghafla baada ya kupata per diem za mbumbumbu, Kaingia mitini! Hii tunaiitaje kitaalam?
  15. JamiiForums Tanzania Kesho tujitokeze kwa wingi kutazama mazoezi ya club yetu

    Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
  16. JamiiForums Tanzania Nafkiri hakuna kitu kigumu kugain kwenye mazoezi kama Lower ABS na OBLIQUES

    Ni rahisi sana kugain Upper ABS ila sio lower ABS na OBLIQUES hivi hii ni kwangu mimi tu au hata nyie mnapata matokeo sawa na mimi?
  17. JamiiForums Tanzania Kupiga teke koni ya mazoezi na kurusha fimbo ya kibendera kama mkuki ipi ina hatari zaidi?

    Nimeshangazwa na aina na kiwango cha adhabu ambacho kimetolewa hivi karibuni na Bodi ya Ligi dhidi ya mchezaji wa Singida BS Jonathan Sowah na kocha wa viungo wa Simba. Kocha wa viungo wa Simba, Ruedoh Berdien amepewa adhabu ya kufungiwa kwa mechi tatu pamoja na faini ya shilingi milioni 1 kwa...
  18. JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  19. JamiiForums Tanzania Jean Baleke anazunguka tu kuangalia match za Mikia. Mazoezi anafanya kweli?

    Matches nyingi za Simba wakicheza hapa KMC Baleke Jean anaenda kuangalia. Ina maana yeye hafanyi mazoezi na wenzie?
  20. JamiiForums Tanzania Derby ya June 15 itahairishwa tena ikiwa mabaunsa wataizuia Simba kufanya mazoezi?

    Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi? Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…