Hell
Nimekimbia mbio kwenda likizo nilipofika home nikaona niwaandalie maandazi kuepuka kuchomoana hela ya vitafuno morng
So nikaanda unga wa ngano wa PPF kisha hamira, sukari, sodabik, barking powerd na irick
Nilianza na kuchekecha unga wa ngano na kuweka sukari pamoja na sodabik na...