mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Una ghetto Kali sawa, vipi mazingira ya wazazi wako?

    Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki. Wanalala chini Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa Hakuna fan Wala asset nzuri za maana. Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na...
  2. JamiiForums Tanzania Binadamu hatufani kitabia kutokana mazingira yanatengeza tabia za watu

    Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine . Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia yake na kumzoea
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zishughulikie uchafu Soko la Mfaranyaki Songea Mjini ni hatari kwa afya za Watu

    Sisi Wafanyabiashara wa Soko la Mfaranyaki lililopo Mtaa wa Mbalika, Kata ya Mfaranyaki tuna changamoto ya mazingira kwenye eneo letu la kazi hilo, uchafu umekuwa ukitawala katika mitaro iliyojaa maji machafu. Hali hiyo imekuwa ya muda mrefu kutokana na kupasuka kwa mabomba ya maji taka, na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana watu masikini wakaishia kuutupia matope na mambo ya kufikirika huu mti mzuri wenye kupendezesha mazingira

    Mara sijui mwanaume lazima afe, afirisike , wanandoa kugombana, blah blah. Sasa nashidwa kuelewa ina maana amba hawajapanda huu mti ndoa na uhai wao uko imara Tanzania nzima eti. Hukl ethiopia chimbuko lake wanaipenda sana na wala hakuna upuuzi kama huu uliopo bongo lala. Unakuuta mtu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja. Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea. Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
  7. JamiiForums Tanzania Mazingira mabaya ya kufanyia biashara

    Habari, ukiona unafanyia biashara pazuri mazingira safi, hasa sisi wafanyabiashara wadogowadogo wa sokoni mshukuru mungu, ss huku sehemu tunaofanyia biashara s rafiki kabisa, soko la masakuroni- ushirombo. Uchafu, n kawaida sjui hao bwana afya huwa wanakaguaga tu migahawa hv sisi tunaouza...
  8. JamiiForums Tanzania Timu zisajili na mazingira ya wachezaji sio wachezaji peke yao.

    Timu nyingi zinasajiri wachezaji kwa kuangali performances zao viwanjani, na hapo ndio neno la usajiri ni kamari linapoanzia. Timu inayofanikiwa kwenye usajili ni ile inayozingatia uwezo wa mchezaji pamoja na mazingira (supporting background) yake yaliyomsaidia kuonyesha uwezo wake...
  9. JamiiForums Tanzania Tunapambana sana kutafuta pesa sema sasa MAZINGIRA na wanaotuzunguka ni kikwazo👇👇😠😠😡

    Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Wale tunao struggle kila mmoja amuulize "dingi" yake kua alikua wapi hizi royal families za nchi zikiwa zinaandaa mazingira ya kula keki ya taifa

    Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua Meya wa Jiji lako la Dar es Salaam?

    Wana JF, Hata kwa kuwa tuna chronic issues (majitaka, dampo, mitaro, parking, paving nk) kero hizi zinamfikia nani?
  12. JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  13. JamiiForums Tanzania Mazingira yapi ni furaha kuishi,

    Sielewi shida ni malezi au tamaduni zetu...? Ni nyakati gani kwenye maisha yako, unahisi uliishi na watu au mazingira Mazuri kwako na kuyafurahia.. ? 1. Kipindi Unasoma O level au A level, iwe ni boarding au day. 2. Ukiwa Chuo, watu wa karibu ni marafik tu. 3. Kuishi kwa Ndugu wa karibu (sio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Afisa mazingira dodoma, huyu anayejenga ghorofa hapa barabara ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka kingo

    umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar tu kwa vile anaogopq kulala ndani.ila.maisha ya watu je? njoo haraka uone watu wanavopiga kelel...
  15. JamiiForums Tanzania NItakua na shida gani? Naboreka Sana na mazingira nnayoishi kila nikihamia

    Nilikua naishi mazingira ambayo niliona kama hayana mambo mengi mazuri, Yani ikawa kama nmeyaishi Kwa Miaka mi3 nikayachoka nikatamani niishi sehemu nyingine yenye mazingira Fulani tofauti. Nikajenga mahali pengine na hivi nimehamia hapa Nina kama week 3, lakini hapa Napo ñaona kama...
  16. JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi kushindwa kusimamisha kwa sababu mazingira machafu?

    Rejea somo hapo juu! Watu wa Mungu tusameheane! Ee bana jana nimeenda kwenye madangulo fulani hivi yameezekwa kwa makuti na bati. Nikazikuta nyingi nikaita moja ikaja. Ikalala lakin mmmmmh harufu kali sana. Mashine ikalala kabisa. Nikanyanyuka nikamwambia nahisi njaa naomba nikale kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wanapinga “No Reform, No Election” kwa sababu mabadiliko ya kweli yanaondoa mazingira wanayoyadhibiti, yanafungua uwanja wa ushindani wa haki

    Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi. Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa kauli hiyo, mara nyingi huwa na hoja kwamba mazingira ya sasa ya uchaguzi hayatoi usawa, haki, wala...
  20. JamiiForums Tanzania Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani katika Picha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…