mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani amemshikia Mawe MWIGURU mchemba?Samia alisema atatupa katiba mpya, MWIGURU kwanza ngiriba, utaliangamiza taifa

    Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm. Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa. Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao...
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Habarini Wakuu, Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi. Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani. Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  4. JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

    Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni nani aliyejenga jumba la mawe pale Morogoro Msamvu?

    Pale Morogoro msamvu kuna eneo la starehe panaitwa jumba la mawe ni magofu ya zamani sana inasemekana toka 1986 na mpaka Leo hapajaendelezwa ila kuna bar na wanapika kitimoto. Je nani alijenga eneo lile wakazi wa Morogoro mtusaidie kujua.
  6. JamiiForums Tanzania Mizani ya mawe inauzwa

    Mizani ya Mawe inauzwa Ipo Dar mbezi mwisho Bei 75k na mawe yake
  7. JamiiForums Tanzania Makampuni ya Wazawa yaliyopewa kazi ya kuchimba makaa ya mawe na NDC

    By Jacob Maganga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
  8. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, makaa ya mawe yanafaa kupikia Katika majiko ya majumbani kama mkaa wa kawaida unavyotumika?

    Salaam! Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa, Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

    Wakuu Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma. Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
  13. JamiiForums Tanzania Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

    Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa kanda ya ziwa nyumba ya 9.6m x 8.7m inaweza kula trip ngapi za mawe katika msingi?

    Wakazi wa kanda ya ziwa nyumba ya 9.6m x 8.7m inaweza kula trip ngapi za mawe katika msingi? Karibuni
  15. JamiiForums Tanzania Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

    Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?. Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'. Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO Ama...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Alshabab, walikua wanauza tani 30 ya makaa ya mawe kwa laki mbili, kule kwenye Amani na utulivu tani 30 ulikua elfu thelathini.

    Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  18. JamiiForums Tanzania Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

    Yule jamaa aliyechora mawe nchi nzima , zile pesa alizipata wapi ?.
  19. JamiiForums Tanzania Njoni muone mawe yanayomsifu Mungu. Ni ajabu na kweli!

    Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu siku ile ya mitende, watu walitandika mavazi yao chini na kuushangilia ujio wake kwa sauti kubwa, wakisema: “Hosana! Amebarikiwa mfalme ajaye kwa jina la Bwana!” (Luka 19:38). Lakini Mafarisayo walikasirika, wakamwambia Yesu awanyamazishe hao watu. Ndipo Yesu...
  20. JamiiForums Tanzania Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…