mawazo

  1. Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

    Habari zenu wana jamvi leo nimekuja kwa unyenyekevu mkubwa ndugu yenu naumwa hlf sijui nini kinanisumbua najua itawashangaza ila na huu ukubwa nilonao sijui naumwa nini ni vile najiskia vibaya mwili unakosa nguvu mda mwengine viungo vinauma tu mda mwengine kama nataka kutapika inafika mwezi wa 4...
  2. Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  3. M

    Kutaka kila mtu akuongelee vizuri ni kutafuta msongo wa mawazo kuwa mwema ila usijali watakavyokuongelea

    KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo. Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
  4. Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  5. Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

    Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama...
  6. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  7. Msaada wa mawazo na kisheria

    Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho. Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo...
  8. Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

    Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa...
  9. Viboko ni ishara ya Umasikini na Msongo wa mawazo.

    Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto. Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
  10. Ajiua kusa mume, madeni na msongo wa mawazo

    Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa...
  11. Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  12. Mpango mzuri na mawazo kwaajili ya safari za utalii wa ndani kwa wana JF

    Wana jamvi, Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja. It's very important to support domestic...
  13. Akili za watanzania zipo kubishana na mawazo ya teknolojia ila ndio wao wao wanazitumia

    Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea. Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna...
  14. Mawazo ya Biashara Yaliyo wafanikisha watu.

    Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
  15. Naomba mawazo/ Ushauri wa kitabibu.

    Wakuu habari za wakati huu Nina changamoto moja ya kiafya
  16. Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo yake ( Mental block chain)

    Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
  17. Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  18. Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  19. Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  20. T

    Ziko wapi fursa za mitaji kwa vijana wenye mawazo yenye tija kwa jamii na dunia?

    Wakuu habari! Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…