maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  2. JamiiForums Tanzania Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

    Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye: 1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake? Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana? 2. Watoto - Je, tunataka watoto? Wangapi? Na ni maadili...
  3. JamiiForums Tanzania Nahisi maumivu chini ya kifua

    Wakuu, wataalamu. Nimeanza kuhisi maumivu makali sana maeneo ya chini ya kifua. Ni siku ya tano toka nimeanza kuiExperience. Nimekuwa nikitumia dawa za maumivu kutuliza maumivu. Kama kuna anayejua dawa inayowesa kunisaidia anisaidie, maana hii hali nasikia wanasema huwa inatibiwa kienyeji...
  4. JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mrejesho maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF Haponyuma nilileta tatizo la kuumwa na kiuno Hadi miguu kuwaka moto. Mrejesho :Nilienda hospital nikafanyiwa x Ray nakuonesha niposawa ikabidi wanipeleke kwenye MRI ambapo majibu yalionesha kulikua namsuguano kwenye UTI wa mgongo maeneo ya kiuno ambapo tatizo Hilo lilisababishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenzenu Nina maumivu makalii baada ya kuzama chumvini... Msaada jmn!

    Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa... Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo. Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
  9. JamiiForums Tanzania Si lazima mtung’ate jamani

    Miaka kadhaa iliyopita, niliuguza kidonda cha kung'atwa, leo aliyening'ata nimekutana naye kanisani tukataniana kuhusu lile tukio. Acha niwape kisomo kidogo na niwakumbushe namna ya kufurahishana bila kuumizana. Kama na wewe ulishawahi kuumia au kuumizwa kwenye harakati za kujilia chakula cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kupewa Ujauzito kisha mwanaume kukimbia au kukukataa maumivu yake yataongezwa zaidi na mikesha hii

    Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu. Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito. Ukiangalia...
  11. JamiiForums Tanzania Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu "Nakupenda pia". Yaliyonikuta sio poa

    Kwema wakuu, heshima mbele! UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi. to be continued....
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada nasumbuliwa na maumivu ya shingo

    Habari za wakati huu wana Jf, Jamani kama miez miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na macho kuvuta, misuli ya shingo kuuma nikaenda hospital nikaambiwa nina shida ya macho (Myopia) nikashauriwa tiba yake ni miwani. Baada ya vipimo nikaambiwa natakiwa kuvaa miwani yenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba watajifunza kwa maumivu makali ya kukosa ubingwa hadi 2030, siasa na serikali havikwepeki, kuna safari ngumu sana kwa simba

    N:B: Ngao ya jamii haihusiki 😁 Simba wametandikwa kihalali. Tupo Tanzania, hapa sio Malawi au Kenya, ukiwa na kampuni, biashara, taasisi, n.k. kuna vitu inakubidi uvifanye katika uwanja wa serikali na siasa ili mambo yaende hata vilabu vya mpira inabidi wavifanye hata kama haviwafurahishi...
  14. JamiiForums Tanzania Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais NRA: Tumegundua na tunajua kuwa watu wana bendera nyingi wakati watanzania wengine hawana nguo

    “Tumegundua na tunajua kuwa watu wana bendera nyingi wakati watanzania wengine hawana nguo, watu hao wanathamini chama badala ya maslahi ya taifa la Tanzania. Mkituchagua tunahitaji kuwa na jukwa moja la shughuli ili watu wawachague viongozi bila kutishiwa au kushawishiwa. ” Ni ahadi ya mgombea...
  16. JamiiForums Tanzania Ninaishi na maumivu

    Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili. Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu..... Binti yangu huyu alianza kuumwa...
  17. JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto

    Wakuu Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado...
  18. JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Habari za majukum wanajamvi, Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani. Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya korodani mara kwa mara

    Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani. Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
  20. JamiiForums Tanzania Dawa ya jino, Alera. Nisuluhisho kwa maumivu ya jino.

    JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖 Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko. 🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…