maumivu makali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  2. digba sowey

    Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  3. U

    Maumivu makali ya korodani mara kwa mara

    Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani. Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
  4. PMWAKA

    Nimefungwa POP mkononi, lakini naskia maumivu makali mkwenye mkono, hii ni kawaida?

    Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery. Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole...
  5. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na wakaamua kupona. Hii ni hadithi yangu. Ya kweli. Niliipenda kimya, nikaamini ni dua yangu ikijibiwa…...
  6. P

    Siku ya pili sasa familia Mdude Nyagali ipo kwenye maumivu makali

    Hii hali ya kuteka, kutesa na kupoteza watu ni torture kubwa sana kwa ndugu wa mtu aliyetekwa na kupotezwa. Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya ndugu zake Mdude, aisee ni maumivu makali sana wanapitia ndugu zake. Kwa kosa gani kijana mdogo yule atendewe aliyotendewa? Kwa kosa gani alilolifanya...
  7. ABILITY_INK

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  8. Paul dybala

    Maumivu makali kwenye ulimi

    Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins. Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto. Nina siku ya nne sasa.
  9. M

    Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  10. AmKATRINA

    MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

    Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya. Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita. Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza. Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata...
  11. TIASSA

    Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  12. Ancient Resident

    Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  13. baba_

    Msaada vipele huwa vinakuja na nakupotea na maumivu makali

    picha hapo chini
  14. J

    KWELI Kupata mtoto husaidia kupunguza maumivu ya hedhi kwa baaadhi ya wanawake

    Nimekuwa katika jamii ambayo unaambiwa ni kawaida mwanamke kupata maumivu anapokuwa katika hedhi, kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakipata maumivu makali wakati wakuingia hedhi na kutokwa na damu nyingi na hadi kupitiliza siku 7 je shida ni nini na suluhisho ni kuzaa mapema?
  15. GemMaster II

    Mzee wangu anasumbuliwa na miguu kwa kidonda cha 2009

    Habari zenu wataalamu wa afya na wajuaji wa mambo humu JamiiForums Iko hivi nina mzee wangu kwa sasa ana miaka 53 sio mzee sana ila ni Bonge ana mwili kama wa hayati mzee wa Lupaso. Mwaka 2009 alipata ajali mbaya ya gari alipona lakini maji ya rejeta yote yaliishia kwenye miguu yake aliiva...
  16. SSMashinji

    Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
  17. Chakaza

    Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

    Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia. Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta...
  18. Baba Vladmir

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  19. Y

    Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  20. Melki Wamatukio

    Napitia maumivu makali sana ya moyo

    Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa...
Back
Top Bottom