maudhui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  2. Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

    Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki. Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo. Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
  3. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  4. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  5. Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
  6. Kwa nini content creators wanapata wakati mgumu sana kufikiria maudhui mapya?

    Septemba 16 2024 Dunia ilipata taarifa kuwa Sean Combs ametiwa nguvuni na mamlaka na kuzua gumzo kubwa sana katika vyombo vya habari duniani, siku chache baadaye chombo cha habari cha TMZ kilitangazia dunia kuwa katika nyumba ya Combs kumekutwa zaidi ya chumba elfu moja za mafuta ya watoto (Baby...
  7. Nani anafuatilia maudhui yanayorushwa kwenye tv za mabasi yanayosafirisha abiria?

    Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwenda mikoa mbalimbali na kuna maudhui mbalimbali (muziki na filamu) yanarushwa kwenye tv za basi. Vyombo hivi vya usafiri husafirisha watu wa umri tofauti, undugu wa karibu na dini tofauti. Maudhui yanayorushwa wakati Fulani hayazingatii mazingira ya wasafiri...
  8. Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  9. Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  10. Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  11. R

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video na Mbunifu wa Michoro (Video content creator and graphics designer)

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator) Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu. Majukumu: 1. Kuunda na kuhariri video za masoko na mitandao ya kijamii. 2. Kubuni michoro ya matangazo na machapisho. 3. Kushirikiana na timu ya masoko...
  12. Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

    Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
  13. Pornhub, XVideos na Stripchat zatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua wanazochukua kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao

    Tume ya Ulaya imezitaka tovuti tatu kubwa zaidi za video za ngono duniani kutoa maelezo kuhusu hatua walizochukua ili kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao na kuzuia ukatili wa kijinsia. Uamuzi huo umechukuliwa ili kuzilenga kampuni za Pornhub, XVideos na Stripchat chini ya Sheria ya...
  14. Watengeneza Maudhui wa Tanzania wanatumia vibaya taarifa za watu, TCRA isaidie hili

    Kuna vijana wengi wanatengeneza maudhui ili kujipatia umaarufu au fedha mtandaoni. Hii sio shida, shida inakuja pale ambapo unatumia sura ya mtu bila kuwa na idhini yake. Tulishazungumzia hili kwa ma-mc wanachukua watu video na kuweka kwenye page zao, ambazo video hizo zinakuwa zinatweza utu wa...
  15. S

    SoC04 Leseni za utoaji maudhui mwiba wa Uhuru wa Kuwasiliana na Kutoa Habari

    Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na burudani kama vile blogi, YouTube, na mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa kwa wananchi na...
  16. Mtandao wa X (Twitter) waruhusu watumiaji kupost maudhui ya ngono

    Jukwaa la mtandao wa kijamii wa X maarufu kama Twitter, limebadili Sera zake za Maudhui na sasa litaruhusu rasmi watu kuonesha au kuchapisha maudhui ya watu wazima yanayohusisha Ngono ilimradi tu yaandikwe kabisa kuwa ni maudhui ya aina hiyo. Hatua hiyo inairasimisha sera ya maudhui ya kikubwa...
  17. Hata kama ndio kutengeneza content ila hii hapana!

    Wakuu mko vyedi? Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa. Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
  18. Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  19. M

    Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  20. T

    Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…