mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 518 waliuwa,+ 10,000 waliokamatawa na kusamehewa si wanatosha au Sasa tunatafuta walio ua na walio toa amri ya mauaji?

    Nijibuni swali LANGU bhandungu.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke asimulia alivyokabidhiwa Mguu na Mkono wa mumewe aliyeuawa kikatili mgogoro wa Ardhi Rombo

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja aitwae Thomas Silayo, mkazi wa kata ya Tarakea Motamburu wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kuuliwa na mtu anayedaiwa kuwa ndugu yake, wakati akisubiria muda wa kuanza kikao cha kunyoosha mipaka, kutokana na yeye kushinda kesi ya ardhi iliyodumu kwa zaidi miaka...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pwani lawakamata watu wanne kwa tuhuma za mauaji Vikawe

    Kufuatia majukumu ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Ibara ya 147 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sura ya 322 ya Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi Katika kifungu cha 5 (1), Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linatimiza wajibu wake kuhakikisha Usalama wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  5. JamiiForums Tanzania Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

    Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM Nadhani waharifu...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  7. JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
  8. JamiiForums Tanzania SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

    Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...
  11. JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  12. JamiiForums Tanzania Mauaji ya mtanzania Wisconsin US miaka ya 90

    Ni miaka mingi imepita tangu hili tukio limetokea kwa kaka kumuua dada yake na kufungwa maisha jela hata baada ya rufaa adhabu haikupungua na hadi sasa anatumikia kifungo. Kwa ufupi mauaji yanahusu kisa cha kusikitisha cha mwaka 1999 ambapo Mwivano Mwambashi Kupaza, mwanafunzi wa Kitanzania...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kukumbukwa kama Muasisi wa SMZ lakini mabaya na mauaji aliyoyafanya Abeid Karume hayawekwi wazi

    Watu walionekana kama wana akili na ushawishi wakati Karume ni rais wa Zanzibara waliuliwa na kuuwawa na utawala wa Karume Mfano ni baba yake na Humud na Kassim Abdula Hanga. Utawala wa Karume ulijaa mauaji na mambo mabaya ya kutisha. Ambayo hayawekwi wazi.
  14. JamiiForums Tanzania Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025

    Leo, Jumapili, Machi 29, 2026, inatumika kama siku maalum ya maombi na kumbukumbu ya kitaifa kwa ajili ya watu waliouawa, waliojeruhiwa, au kupotea wakati na baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania. Muktadha wa Kumbukumbu Hii Tukio la Msingi: Oktoba 29, 2025, ilikuwa siku ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ukosekanaji wa katiba chanzo cha mauaji Oct 29

    Huo ndio ukweli na bila katiba mpya wengi watapoteza maisha maana bila kuondoa haya majanga yaliyopo ya katiba mbaya tusubiri mabaya tu
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

    Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
  18. R

    JamiiForums Tanzania China, Urusi, Korea Kaskazini na Hamas walaani mauaji ya Ayatollah Khamenei

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amelaani kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akikitaja kitendo hicho kuwa ni “mauaji ya kinyama na ya kijanja” yanayokiuka maadili yote ya kibinadamu na sheria za kimataifa. Putin alitoa salamu za pole kwa Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…