mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

    Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania mnataka idadi ya vifo vya kutekwa ifike ngapi ndio muamke?

    Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya katiba mpya andamaneni na hili polisi itoe hao watu inawashikilia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi na Viongozi wa Upinzani kukaa kimya kunatoa mwanya kwa watekaji kuendelea kupoteza watu nchini

    Hawa watekaji walianza kuwateka wanaharakati. Kwa kawaida wanaharakati huwa hawana wafuasi rasmi. Watekaji walifanya hivyo kupima mwamko na nguvu ya wananchi pale inapotokea mmoja wao anafanyiwa uharamia. Wakataka kuona, Watamzania watafanya nini dhidi yao. Matokeo: Watanzania, kama nyumbu...
  5. JamiiForums Tanzania Watu watatu wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya Mama na Bintiye mkoani Dodoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

    Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake. Leo napenda kuja na mada yenye...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

    Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

    Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi. Dk Shoo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wanne wakamatwa kwa mauaji ya watu 10 Dodoma na Singida

    Agosti 26, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa mendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watuhumiwa watatu waliobainika kumuua Samwaja Sifael Said kwa kumnyonga hadi kupoteza uhai kisha kukata sehemu zake za siri na kufukia wili wake katika shimo. Baada ya mahojiano na ushirikiano...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

    Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa...
  12. JamiiForums Tanzania IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

    Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti. Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana. Mbaya zaidi ni mita 30...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mauaji Asimwe: Marufuku kutaja majina ya mashahidi, ndugu zao

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath. Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

    UPDATE: August 22, 2024 KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi wakiwa chini ya uangalizi wa maafisa wawili wa polisi waliokuwa zamu usiku Idadi ya Wafungwa ni 13...
  16. JamiiForums Tanzania Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  17. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pastor Mackenzie akana Mashtaka ya Mauaji ya Wafuasi zaidi ya 400 Shakahola

    Kiongozi wa dhehebu, Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya kuhamasisha wafuasi wake zaidi ya 400 kujinyima chakula hadi kufa amekana mashtaka ya mauaji ya bila kukusudia Agosti 12, 2024 Mackenzie alikamatwa Aprili 2023 baada ya miili 429 ikiwemo watoto kufukuliwa katika msitu wa Shakahola...
  18. JamiiForums Tanzania Amuua jirani yake baada ya kuchoshwa na maswali yake ya kikuda kila siku kumuuliza ataoa lini

    Safi wewe mwanaume wa huko nchini Indonesia kwani hata Mimi GENTAMYCINE huwa Nakerwa mno na maswali ya kikuda na ya kijinga kijinga kama hilo uliloulizwa na ukaamua kabisa kumdedisha mtu (Jirani yako) huyo. Mtu hunilishi, hunivalishi na wala hujachangia chochote katika maisha yangu na ada zangu...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ndondi wa Olympic wamzodoa mshindi kwenye pambano la wanawake wakidai ni mwanaume

    Huyo binti pichani Angela Carimi kutoka Italy aliangua kilio mapema leo baada ya kula kichapo kitakatifu kwenye ndondi ya wanawake huko nchini Ufaransa kwenye ile michezo ya olimpiki. Wakati wa round ya pili alionekana kuweza kumudu mpinzani wake Imane Khelif ambaye anadai kuwa ni mwanamke...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…