mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Haya mauaji ya sasa tusiridhike na sababu za vifo vyake

    Naandika tu kama mtazamo wangu.. Maana pengine hatua zinaweza zisichukuliwe haraka kutokana na aina ya wapelelezi tulio nao Kuna conclusion zinatolewa haraka sana kwenye haya mauaji na vifo na watu wasio sahihi... Kwa wenzetu ripoti ya daktari ndio husema ukweli.. Lakini pia nyuma ya hivyo vifo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  3. JamiiForums Tanzania Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyehusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas naye afyekelewa mbali leo hii huko Gaza

    BREAKING: IDF imemwangamiza Kiongozi wa kundi la kigaidi la Mujahidina Brigedi huko Gaza, ambaye alihusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas. Yeye na familia yake wote waliangamizwa. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu"

    Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu", mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu Binafsi na chief of staff wa Rais Hayati Mwalimu Julias Nyerere
  6. JamiiForums Tanzania Tuweke maombi yetu wana JF dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji mpaka wahusika wateketezwe

    Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano. Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji. Wahusika waharibiwe.
  7. JamiiForums Tanzania Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

    Tupo tunatazama! Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa. Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu. Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina...
  8. JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  9. JamiiForums Tanzania Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  10. JamiiForums Tanzania Yoyote yule, awe Kiongozi wa Serikali, au Dini, Wanasiasa , Wanaharakati anayeshindwa Kuukemea Utekaji, na Mauaji huyo Apigwe vita

    Hata itokee anahubiri vipi Amani, hata itokee anajua Kuongea na kuvutia, Hata itokee anatoa Misaada katika Jamii, IKIWA kinywa chake ni kizito kukemea UTEKAJI NA MAUJI. Huyo ahesabiwe kama Adui wa TAIFA hili.
  11. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  12. JamiiForums Tanzania Trump amuita Putin "kichaa" baada ya Urusi kurusha makombora 360 kwenda Ukraine siku ya Jumapili

    Wakuu, Mnakumbuka Trump alivyoingia madarakani alijinadi akisema kuwa anammudu Putin na kwamba akiingia tu madarakani ataimaliza hiyo vita "ON DAY ONE?" Yaani it seems kabisa matarajio yake na alichokutana nacho ni tofauti kabisa. Naona sio Putin wala Zelensky wanayemsikiliza. Ni kama he was...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Watu wachache

    Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya Na Maleko Goodluck J Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi kuruhusiwa kusikika wazi. Simulizi rasmi kwamba Wahutu walipanga na kutekeleza mauaji dhidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
  16. JamiiForums Tanzania AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

    Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  18. JamiiForums Tanzania Mauaji ya mamia ya raia yaliyofanywa na jeshi yaripotiwa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore

    Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation. At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by Burkina Faso’s army and allied militias near the western town of Solenzo in March, Human Rights Watch...
  19. JamiiForums Tanzania Matukio mawili mauaji ya Askari wa Israel huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam. Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita wakiwa wamekwama chini ya vifusi. Moto mkali unaendelea huku jeshi likihangaika kuwaondoa maiti na...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza majukunu yake ndiyo maana inawatisha wananchi kwa mateso na Mauaji

    GT Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa. Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…