mauaji ya kimbari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Rufaa ya aliyekuwa dereva wa wanamgambo wa Kihutu Mauaji ya kimbari Rwanda kuendeshwa Paris

    Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris. Claude Muhayimana alipatikana na hatia mwaka 2021 kwa kosa la kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu, na...
  2. Echolima1

    Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Wayahudi

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa'ar Atoa Hotuba katika Sherehe ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari huko Astana, Kazakhstan Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev pia ametoa hotuba. Hotuba Kamili ya Waziri Sa'ar: "Ninasimama hapa kama mwakilishi wa Wayahudi...
  3. Ileje

    PostGE2025 Kikao kijacho cha Bunge liazimie tarehe 29 Oktoba kila mwaka iwe kumbukizi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Serikali ya Samia kwa Watanganyika

    Ni wazi na ukweli kuwa tarehe 29 Oktoba 2025 itakumbukwa milele kama siku ambayo Watanganyika kwa mamia waliuawa kikatili na utawala wa Samia Suluhu Hassan! Kwa siku tano mfululizo Watanganyika walishuhudia wenzao wakipigwa risasi na polisi kama swala porini! Ni siku ambayo Samia, CDF Mkunda na...
  4. The Father of All

    GE2025 Uchaguzi wetu ulisababisha mauaji ya kimbari

    Mbari ya Gen Z iliuawa na mbari ya watawala. Mbari ya wasio chawa iliuawa na machawa Mbari ya wasio CCM imeuawa na CCM. Kuna mauaji ya kimbari Tanzania. ICC inaweza kuanza kuchunguza.
  5. The Father of All

    Je, kama Netanyahu ataendelea na mauaji ya kimbari dunia itafanya nini na je, anaaminika?

    Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali yanayosumbua ni kama ifuatavyo: 1) Je, Netanyahu na Trump wake wanaaminika? 2) Je, kama wataendelea na ujanja...
  6. Yoda

    Kwa nini mauaji ya kimbari ya Wakristo Nigeria na DRC hayapewi uzito mkubwa kama Gaza?

    Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele. Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
  7. J

    Kuna jambo Watanzania hatufahamu. Mauaji ya kimbari Rwanda yalifanywa na vijana wa chama tawala Interahamwe

    ..Kuna tatizo la upotoshaji, na Watz kutojiongeza. ..Mauaji ya Rwanda yalifanywa na genge la Interahamwe. ..Hao Interahamwe walikuwa ni umoja wa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo. ..Chama hicho kiliitwa MRND, au kwa Kiingereza, National Revolutionary Movement for Development. ..Ni...
  8. ndege JOHN

    Wakubwa zangu kipindi mapanga ya mauaji ya kimbari yanapita mpaka kufika Rwanda hamkuweza kuhisi chochote?

    Naomba kujuzwa hayo mapanga yalitengenezewa wapi na je mpaka yanapita malori yamebeba waliokuwepo kwenye mamlaka hawakuweza kutilia Shaka hata kidogo na je intelijensia haikuweza kujiuliza kwanini kipindi cha migogoro kama hicho kwamba wananchi wanahitaji mapanga kufyeka mashamba.. Jinamizi...
  9. The Father of All

    Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
  10. Yoda

    AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

    Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
  11. Ritz

    Ripoti ya amnesty international: Israel inafanya mauaji kwa wapalestina

    Wanaukumbi. NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda wa Gaza. Callamar aliongeza katika ripoti yake: "Amnesty International imeandika mauaji ya halaiki...
  12. kipara kipya

    Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

    Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
  13. MamaSamia2025

    Mungu tunayemwabudu ni huyu aliyeamuru kufanyika mauaji ya kimbari?

    Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini. Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe...
  14. mcTobby

    Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia yaliyosahaulika

    Wadau , wakubwa kwa wadogo natangauliza salamu zangu kwenu, natumai mu buheri wa afya . Nadhani wengi wenu mliopita shuleni hususani advanced level mnamkumbuka mwamba mmoja aliyejulikana kama Josip brozi Tito, rais wa yugoslavia. Ingawaje historia inamsema vizuri kutokana na ujasiri wake wa...
  15. S

    Enduring Lies: Je, Tulidanganywa Kuhusu Mauaji ya Kimbari ya Mwaka 1994?

    Jana, katika pitapita zangu nikifuatilia yanayoendelea Goma, nikakutana na maoni yenye kutaja kitabu kiitwacho Enduring Lies. Nikavutiwa nacho na nikaamua kukitafuta, bahati nzuri nikakipata. Kulingana na waandishi wa kitabu hiki, kile tunachoambiwa kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ni...
  16. The Father of All

    Kama Kagame alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua na kuanzisha mauaji ya kimbari na kutwaa madaraka, anaiweza Tanzania iliyomchakaza Amin?

    https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza kutobolewa kwa sindano, unashangaa anapata wapi jeuri au ni usahaulifu wa binadamu. Madaraka...
  17. Ritz

    Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na hatari kubwa ya kukamatwa nje ya nchi baada kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

    Wanaukumbi, Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
  18. Mlaleo

    Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  19. Ritz

    Hawa ndiyo waratbu wa mauaji ya Kimbari huko Gaz Joe, Holocaust Harris, na Butcher Blinken, ndiyo urithi wao.

    Wanaukumbi. Genocide Joe, Holocaust Harris, and Butcher Blinken Their legacy? A pointless proxy war in Ukraine that failed to defeat Russia🇷🇺, hundreds of thousands dead in a completely avoidable war that could have been ended with the deal at Istanbul A genocide in Gaza perpetrated by...
  20. M

    Vatican yashutumiwa kuhusika mauaji ya kimbari Rwanda

    Katika mahojiano aliyoyafanya na gazeti la "Badisches Tagblatt" la Ujerumani, jaji Wolfgang Schomburg amewanyooshea viongozi wengi kidole: Schomburg aliyekuwa sehemu ya jopo la majaji lililosimamia kesi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 amewataka mapadri wa kikatoliki waliohusika...
Back
Top Bottom