mauaji ya halaiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwandishi wa Kenya ashangazwa na mauaji ya halaiki kutelelezwa chini ya utawala wa rais Mwanamke. Adai Nyerere akifufuka atatoa machozi

    Adai mauji yalifanyika ili rais Samia arudi madarakani.
  2. Msanii

    Samia, kwenye haya mauaji ya halaiki hauchomoki. Hata uvae mbawa za malaika hutoki

    Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika. WHO ARE YOU anakuja after YOU Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie. Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako...
  3. Msanii

    Kumtambua Samia kwamba ni rais ni kuunga mkono mauaji ya halaiki Oktoba 29+

    Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali. Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala. Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni...
  4. O

    Je, Utawala wa Samia Unaielekeza Tanganyika Kwenye Njia Hatarishi Inayofanana na Mauaji ya Halaiki ya Darfur?

    Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kimeshutumiwa vikali kwa mauaji ya kimfumo dhidi ya raia wa makabila...
  5. M

    Mauaji ya halaiki ya Watanzania MO 29 yaingizwe kwenye syllabus ya somo la history

    Wanajamvi Mo 29 na kuendelea ni kipindi ambacho nchi yetu iliingia katika kiza kinene, anga lake likiwa limefunikwa na damu, huku ardhi yake ikilalamika kuelemewa na miili ya Tanganyika ikiomba msaada wa kuhifadhiwa na ndugu zao. Ni kipindi ambacho nchi yetu imeingia katika historia mbaya...
  6. R

    Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  7. Lord Denning

    ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

    Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha. Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi. Ikumbukwe...
  8. R

    PostGE2025 Rais unda tume ya kuchunguza mauaji ya halaiki wakati wa uchaguzi na si uvunjifu wa amani

    Correct naming ni hiyo. Tusimpambe maiti kuwa amesinzia. Ni kuwa Mwanadamu amekufa.
  9. R

    The so called tume, kama ingelikuwa let say inakubalika, ichunguze mauaji ya HALAIKI na si UVUNJIFU WA AMANI

    Bado kuna denial kutoka serikalini na hususan Mkuu. Haya let us pretend kuwa tumeikubali tume ingawa kamwe haitakubalika. Basi kazi yake iwe ni KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI NA SI UVUNJIFU WA AMANI. Issue hapa ni mauaji ya HALAIKI, mengine yatakuja by default in the cause of kuchunguza MAUAJI...
  10. M

    PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

    ONYO: Maudhui ya kutisha. BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania. Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu...
  11. Poker

    Tujifunze kutunza kumbukumbu za members wote wanaosapoti mauaji ya halaiki.

    Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani. Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia. Wao naona familia zao na...
  12. Waufukweni

    GE2025 Baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi wameandamana nje ya Mahakama ICC kupinga mauaji ya Watanzania

    Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile wanachokiita mauaji ya raia nchini Tanzania, na wakitaka uchaguzi ufutwe ili, kwa madai yao, “wananchi...
  13. Richard

    Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Rais Ruto: Vita vya Sudan vinaelekea kuwa mauaji ya halaiki na tayari vimeingia katika uwanja wa maafa ya kibinadamu

    Rais wa Kenya, William Ruto, ametaka hatua za haraka na za pamoja kutoka kwa jumuiya ya kimataifa ili kusitisha vita vinavyoendelea nchini Sudan, akionya kuwa mapigano hayo yamefikia kiwango cha mauaji ya halaiki na maafa ya kibinadamu. Akizungumza katika Ikulu ya Nairobi siku ya Jumamosi, Rais...
  15. Carlos The Jackal

    Kilichotokea Ofisi za CHADEMA Nyasa ni Shambulio la Kigaidi la silaha za Kikemikali lilolenga mauaji ya Halaiki

    CCM CCM CCM hata nyinyi hamtakua salama kama mtaendeleza siasa hizi. CCM CCM CCM narudia, msilazimishe njia mloichagua kua njia ya maisha ya kisiasa. CCM CCM CCM endapo vifo vitaanza kutokea kwa wanachadema wote waliolala mahali hapo, na vifo hivo vikawa ni leo au huko mbeleni, CCM...
  16. Rorscharch

    Tujitafakari: Nilikuwa sitilii maanani hawa machawa (wanapambe kisiasa) ila baada ya kufuatilia mienendo yao nimegundua wanaliweka taifa katika hatari

    Historia imejaa mifano ya mataifa yaliyoangamizwa si kwa vita vya nje, si kwa mafuriko wala matetemeko, bali kwa sumu ya uchawa. Wananchi walioshindwa kuhoji mamlaka, waliobadili akili zao kuwa mashine za kushabikia kila amri bila swali. Walisherehekea wakinyamaza, huku nchi zao zikiteleza...
  17. U

    Serikali ya Nicaragua yatangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, yaituhumu kuwa ya Serikali kifashisti na mauaji ya halaiki

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel yazidi kutengwa kimataifa Serikali Nicaragua inayoongozwa na Rais mhafidhina Daniel Ortega imetangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel wakipinga uvamizi huko Gaza. Hatua hiyo imetangazwa rasmi na Makamu wa Rais Bi Rosario Murillo ambaye...
  18. Ritz

    LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ. Inasaidia...
  19. T

    Wakati nchi za Kiarabu zikihangakia Israel kuangamiza Gaza, Afrika Kusini yaifungulia Israel Kesi ya mauaji ya halaiki huko Gaza

    Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki. South Afrika wameenda hatua moja...
  20. Ritz

    Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany. Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
Back
Top Bottom