matusi

Leneuoti Matusi is a Tuvaluan politician and former civil servant who was elected as an Independent MP for the Nui constituency in a 2013 by-election, having previously served as the Secretary of the Nui Falekaupule.Matusi gained 297 votes out of 778 to gain the seat from the former sitting member Taom Tanukale who polled just 160 votes after resigning from Parliament on 30 July 2013 following the constitutional crisis. He will represent Nui alongside Pelenike Tekinene Isaia, who is the island's only female MP.A week after the by-election, Prime Minister Enele Sopoaga announced that Matusi had joined the government's side, helping to boost their members to nine.Matusi was not re-elected to parliament in the 2015 Tuvaluan general election.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matusi kwa Wasomi ni Ushindi au Chuki zilizozikwa kwa muda mrefu?

    Kuna kauli moja inasema hivi, Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji. Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu...
  2. JamiiForums Tanzania Msudan Uingereza amshambulia mfalme wa Dubai kwa kuua wasudan badala yake akatukanwa matusi ya kibaguzi

    Raia wa Sudan nchini uingereza baada ya kumuona mtawala wa Dubei na makamu wa rais falme za kiarabu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum akikatiza mitaa ya London akizingirwa na jopo la walinzi alipaza sauti na kumshambulia muuaji mkubwa acheni kuua watu wangu wa Sudan emirati na UAE nyie ni...
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  4. JamiiForums Tanzania Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

    Habari Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
  5. JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
  7. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Bao la Usabuhi ni “Matusi?”

    BAO LA ASUBUHI , likitamkwa tiu, wanandoa wana reflect "Morning glory" sasa basi Ukiwa mezani kwako na mume na watoto wako, Ukawasha redio TBC, ukasikia “bao la asubuhi leo ni tamu ” leo umelipata tokea wapi? Watoto na mume watawaza kitu gani ? Picha gani ya kwanza itakuja kwa mabinti zako na...
  9. JamiiForums Tanzania Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA Kuna kiwanda na Kinu cha Kuzalisha Na Kukoboa Matusi? Wanatukana, kufunua na kuporomosha Matusi

    Ndugu zangu Watanzania, Hiki ni Chama Cha Ajabu Sijapata Kuona .Ni Chama Ambacho Kuanzia Viongozi wake wa Ngazi ya Juu kabisa Mpaka chini huko wanatukana,kufunua na kuporomosha Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu Ama unaweza kufikiria wameopolewa kwenye pipa la Pombe . Hawa Jamaa wanamatusi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Matusi Anayotukana Sugu na CHADEMA Majukwaani Yametosha Sasa. Msajili unasubiri Nini Kusitisha Mikutano Ya CHADEMA Nchi Nzima? Angalia Matusi Ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani . Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Nchi ya ajabu inakemea matusi inaacha kukemea ufisadi

    Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi. Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery. Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye...
  13. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amshtaki Mtanzania aliyemtishia kifo na matusi

    Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia kumuua. Soma hapo chini. adriz de mbusii
  14. JamiiForums Tanzania Karma is real. Member huyu sasa anapata tamu ya chungu yake. Matusi hayajengi

    Makebo ametukana watu sana humu bila aibu kwa muda mrefu sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
  15. JamiiForums Tanzania Car4Sale Mark Matusi New Model Iko Sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 28.5M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA MARK X Year: 2010 Engine: 2,490Cc Mileage: 58,000+ Transmission: AUTO ✨BLITZ Damper ✨ Cruise Control ✨19 Inch ANHELO Wheels ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  16. JamiiForums Tanzania Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

    Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao...
  17. JamiiForums Tanzania Real society feelings: Kwanini matusi na si pongezi

    Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga Risala iliyosomwa na jaji imepata ukosoaji mkubwa kwakuwa imeenda tofauti na uhalisia na ukweli wa kilichotokea...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…