matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Martha Gwau Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wilaya ya Mkalama, Singida

    MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama Mhe...
  2. Je, simu aina ya Docomo (Samsung twin sister) zinafaa kwa matumizi?

    Habari wanajukwaa! Nimekutana na simu aina ya Docomo s20 5g, baada ya kuulizauliza kwa baadhi ya wadau nimeambiwa hizi simu za Docomo zinatengenezwa na kampuni ambayo hapo awali ilikuwa ikifanya kazi na kampuni ya Samsung, japo sina ushahidi wowote ila baada ya kuitumia nimeona inatumia Samsung...
  3. SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  4. Je huu mkakati wa kusambaza mitungi ya gas ya LPG sio mpango wa kuhujumu matumizi ya gas ya NPG inayopatikana Tanzania?

    Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
  5. M

    Mtandao gani wa simu ni salama kwa matuzi?

    Nisiseme sana.... Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake? Mitandai ambayo ipo tz ni; 1.Tigo 2.Vodacom 3.Airtel. 3.Halotel 4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
  6. Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

  7. Msaada namna ya Kusitisha Machine ya EFD

    Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena. Badae alirudi kwenye biashara lakini alibadilisha aina ya biashara na mtaji pia mdogo hivyo...
  8. Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

    Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari. Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza...
  9. M

    SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  10. Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  11. Je, naweza badili matumizi ya monitor ya computer na kuitumia kama screen ya kawaida na kuiunganisha na king'amuzi?

    Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
  12. Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  13. R

    Taratibu za kubadilisha matumizi ya ardhi

    Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
  14. Matumizi ya Sponge kwenye Uandaaji wa Chakula

    Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama chips au wali kwa wale wenye migahawa midogo. Hata hivyo kuna baadhi ya familia wao walikuwa...
  15. T

    Utafiti wangu mdogo wa Matumizi ya Kondom Makazini: Matokeo yake yanatisha...

    Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala...
  16. Matumizi ya Kadi za Malipo ya Wizi katika Malipo ya Serikali ni nini kifanyike?

    Matumizi ya kadi za malipo katika mfumo wa malipo ya serikali ni hatua muhimu kuelekea kuboresha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa fedha za umma. Hata hivyo, tatizo la wizi wa kadi za malipo limekuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo haya. Kadi hizi zinapotumiwa vibaya, zinachangia...
  17. Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  18. Vijana wapo hatarini zaidi kupoteza nguvu za kiume, matumizi ya ndimu ya unga yamekithiri mno

    Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana. Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia. Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali...
  19. Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  20. Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa

    Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…