Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi,
scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana.
Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini????
Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia...
Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month
HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa wazi katika vikao pamoja na kubandika kwenye mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kila mwaka wa fedha unapoisha.
Lakini je, wananchi wanashiriki kikamilifu katika kusimamia uwazi huu?
Je, umewahi...
Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani.
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
Kufuatia kuongezeka kwa miamala ya fedha za kigeni katika manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini, Wizara ya Fedha kupitia Sheria ya Benki Kuu, Sura ya 197 imetangaza Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025. Kanuni hizi zimeanza kutumika rasmi Machi 28, 2025.
Kanuni namba 2...
Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...
After a long time of usage and public checkability! I have noted that:
1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025.
Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
Utangulizi
Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25
Upandishaji Vyeo
Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara imewapandisha vyeo jumla ya watumishi 9,397 katika ngazi mbalimbali za uongozi. Hali hiyo...
Utangulizi:
Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii.
Kwakuwa Mwenyezi...
Kila mwaka, tunashuhudia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa Hati za Ukaguzi kuhusu utayarishaji wa hesabu za taasisi za umma. Hati hizi ni muhimu sana katika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.
Hati ya Kwanza ni ile inayoitwa "Hati...
Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi:
Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024