matumizi mabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Ziara za Waziri Mkuu: Uozo wa mifumo, rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya kodi zetu

    Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo. Mwingine anatembea na makaratasi...
  2. Tundusami

    Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  3. Sifi Leo

    UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  4. Genius Man

    Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini?

    Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini? Hizi ni akili za wapi? kila siku watu wanatekwa na kuuwawa hadharani jeshi halifanyi chochote linazunguka zunguka tu. Kwa maana hiyo jeshi linapaswa kuendelea...
  5. J

    PostGE2025 Kuunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ni matumizi mabaya ya kodi zetu wananchi

    Salut sana kwenu waungwana wa jukwaa hili la JF. Tulishakubaliana kwamba waliofanya vurugu ni vijana kutoka nchi jirani vile vile zile video ni zakutengenezwa. Kuunda tume kuchunguza yaliyotokea ni kukaribisha upigaji. Kiufupi tuendelee tu palepale tulipoishia. #December 9
  6. M

    GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
  7. A

    DOKEZO Matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika matumizi ya chama

    CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?! Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado...
  8. Kimbesa11

    Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  9. Fbn

    Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  10. Z

    Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  11. 1Africa54

    Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  12. S

    Matumizi mabaya ya Maombi

    Unaishi kihuni hujali HAKI za watu. Wakidai HAKI zao unawaona maadui. Yanakukuta yakukukuta ambayo kimsingi ni mavuno ya Mbegu mbovu uliyoipanda unaanza kutaka tukuombee. Hapo hamna namna zaidi ya kufanya amani na wote uliowadhulumu HAKI zao au uwajibike kivyako kwa matendo yako. Waombaji...
  13. Lord Denning

    Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
  14. Mindyou

    PreGE2025 Sitashangaa kukuta yale mabasi ya CCM na pikipiki za Samia ni kati ya vitu vilivyotuponza kukosa misaada ya Marekani

    Wakuu, Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa shughuli zao binafsi. Sasa amekalia kiti utekelezaji umeanza, misaada yote imesitishwa kwa miezi 3...
  15. Roving Journalist

    ACT: Kutumia Tsh. Bilioni 27.8 kurekebisha Viwanja vya Amani na Gombani ni matumizi mabaya ya fedha

    ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
  16. Abdul Said Naumanga

    Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  17. Heparin

    Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

    AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
  18. Stuxnet

    Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
  19. Yoda

    Tuepuke matumizi mabaya ya neno "Bilionea"

    Kwa Tanzania hasa watu wa kanda ya Kaskazini wana matumizi mabaya sana ya neno bilionea. Ukiwa tu na uwezo wa kumiliki gari nzuri ya thamani kubwa, bus kadhaa za usafirishaji au ghorofa maeneo ya kitajiri wewe tayari umekuwa bilionea. Tuache huu ushamba, bilionea kidunia/kimataifia ni mtu...
  20. A

    DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
Back
Top Bottom