matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Katibu CCM: Matokeo ya Ubunge yamechelewa sababu ya mwingiliano wa majina

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa. Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni Bukoba vijijini

    Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM Chanzo: Kitenge updates
  4. JamiiForums Tanzania Baba Levo amerudi hewani baada ya matokeo

    Baba Levo amerudi kuzungumzia uchaguzi wa ndani baada ya matokeo Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
  5. A

    JamiiForums Tanzania Siha naombeni matokeo

    Taarifa zinatatanisha,naombeni matokeo huko Siha mkoa wa Kilimanjaro,mzee wangu wa Siha nilimuombea sana tangu anachukua form,vp matokeo yake
  6. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  7. P

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Morogoro: Walioshindwa kura za maoni ubunge viti maalum, wasema wamepokea matokeo kwa heshima na utulivu

    Watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Jane Mihanji na Hajra Mwikoki, wamesema wamepokea kwa heshima na utulivu matokeo ya kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni. Kwa nyakati tofauti wamesema, licha ya kutoshika...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Catherine Magige alivyotoka ukumbini na kukataa kusaini matokeo

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kombani na Lukuba Wangara Matokeo ya UWT Morogoro

    Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo watakaoshiriki katika hatua ya kitaifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katika zoezi hilo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshwaji wa matokeo chuo kikuu huria(OUT)

    Wadau wa elimu habari. Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili. Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata kupelekea wanafunzi kulipia gharama zakurudia mitihani baada ya mitihani hio kupotea, mbali na hapo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mfaume Mfaume kashinda hilo pambano na mmalawi, tusilaume tume za uchaguzi Afrika kupanga matokeo

    Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji. Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa maswimbi Tanzania .Ni aibu. Mfaume alipigwa mpaka ukumbi ulikuwa kimya wakati wote wa mchezo...
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto kurudishwa kwa sababu ya kukosa tsh 1500 na kujinyonga ni miongoni mwa matokeo ya uongozi legelege ndani ya CCM unaounda Serikali legelege

    Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 sikilizeni matokeo ya kikao cha CCM live

    Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA...
  16. JamiiForums Tanzania Haya yote yanayoendelea ni matokeo ya akina Polepole na utawala wa JPM - Tujifunze kupigia kelele viongozi kufuata sheria

    Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu tunayedai anatimiza matakwa ya wananchi. Tena tunasema kwamba kufuata utaratibu na sheria...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  18. JamiiForums Tanzania Tuangazie juu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa Tanzania lakini haikuleta matokeo chanya

    Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_ 1,Big Results Now BRN)_2013 2, MKURABITA 2004...
  19. JamiiForums Tanzania Je, tetesi zakuahirishwa kwa vikao vya juu vya CCM ni matokeo ya Polepole kupiga kwenye mshono?

    Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla. Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake? Muda utakuja kusema mengi.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tupimane kwa matokeo ya kazi sio maneno maneno

    Asante sana presidaaaa Samia Suluhu Hassan, president of the United Republic of Tanzania. Mtu anapimwa kwa matokeo sio maneno, udini, chuki, wivu nk. Hakuna serikali iliyomwaga mahela kwenye miradi kama serikali hii, hakuna kijiji ambacho utaenda hakuna hela ya mkuu wa nchi. Mnataka mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…