📌Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wanakuletea Kambi maalumu ya huduma za ubingwa na ubobezi za uchunguzi na matibabu ya magonjwa, itakayofanyika katika Viwanja vya Soko la Machinga (Bahi Road) kuanzia Oct 8 - 12, 2026, walengwa katika kambi...