Habari zenu jamani
Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana nilimpata division III ya 24 selection zilivyo toka nimepangiwa nikasomee iyo kozi hapo juu katika chuo Cha Korogwe teacher college Sasa nilikuwa na uliza je naweza kupata mkopo wa heslb
Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira.
Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend.
I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was 15 and 16.
Sijawahi kuona msichana ambae
" anapenda" hesabu kama yeye.
It was as if her brain...
Habari zenu jamani
Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics).
Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee...
Yo, watanzania wenzangu, especially walimu wa hesabu...
Let’s be real, you’ve been feeding kids the same old sht for decades. Pythagoras this, Quadratic that, kama vile hiyo crap ndio mwisho wa dunia. But guess what? Hii ni Mathematics from the fcking streets, straight outta mental ghetto...
Habarini..
Ikiwa wewe ni muhitimu wa kidato cha sita, diploma au degree na unamudu kufundisha basic mathematics O- level, Na hujaajiriwa...
Nitafute inbox
Habari za Jioni Wakubwa
Leo nimekumbuka nilivyokuwa advanced level...nilisoma tahasusi ya EGM lakini niliongeza somo la history kama back up
Yaani kiufupi nilisoma HEGM nikiwa na lengo la kuitumia tahasusi mojawapo kufanyia mtihani either HGE au EGM
Tukiachana na hilo...Leo nataka...
Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V.
Tunafanya home Teaching pia.
Tunapatikana TEGETA, Dar Es Salaam.
Mawasiliano: 0782044028(Whatsapp)
0625012562.
KARIBUNI SANA
Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V.
Tunafanya na home Teaching pia
Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp)
0625012562
Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V.
Tunafanya na home Teaching pia
Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp)
0625012562
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.
kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4
2. 29 Chapters, 505 pages, full colour.
3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake.
4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100
5. Kuna mitihani 10 ya samples
6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea.
.
Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi
Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.