Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama.
Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka.
Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata...