matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

    Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana. Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi. Are you insane?
  2. JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na matatizo ya meno Kama kuoza / Kutoboka !?

    Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration) Faida Zake -Jino Litadumu kwa mda mrefu -utazuia kuharibika zaidi kwa jino -Utatafuna Chakula Vizuri Utalinda meno mengine yasiharibike Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako Nimeambatanisha...
  3. JamiiForums Tanzania Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

    Ndugu zangu wanajf, Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana. Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa. Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini...
  4. JamiiForums Tanzania Leo Airtel wana matatizo gani mboni mtandao mwendo wa KOBE?

    Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

    Nilipata likizo fupi nikasema hebu niende Vientiane na wenzangu kula maisha Kidogo, Kwa wasioijua Vientiane ni mji mkuu wa kinchi kimoja kiko Asia kinaitwa Loas, kuna totoz balaa nilienda Mpaka sehemu inaitwa Viang vieng, kinchi kile ni kizuri sana na ni very cheap ! Kutoka hapa Singapore hadi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaani mnamshauri mwenzenu kitu ambacho hata ninyi msingefanya, Mnamtia mwenzenu kwenye matatizo. Ilimradi yenu yananyoka, Muwe na utu hata kidogo

    Yaani unajuwa kabisa hicho unacho mshauri hakina afya kwa Taasisi/taifa na kwake pia, Lakini kwasababu ya maslahi yenu binafsi mnafanya. Mambo yakienda ndivyo sivyo mnasema sisi hatuna mamlaka ya kufanya maamuzi. Zigo lote anabeba pekeake 1. Inawezekana kwa sababu umegundua bosi wako upeo wake...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Habari, Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana. Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu. NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢 NAUMIA SANA...
  9. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ulaya kutoka Mashariki ya kati na nchi za kiislamu wana matatizo!!

    Angalia video hapo chini ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini wana matatizo sana vichwani mwao!!
  10. JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  12. JamiiForums Tanzania Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

    Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
  13. JamiiForums Tanzania Matatizo yanayowakumba wafanyaboashara Tanzania

    Wana JF, najua tuna wafanyabiashara wengi sana humu JF, leo natamani tujadili kwa kina matatizo yanayowakumba wafanyabiashara na wajasiriamali wengi sana nchini. Kwa upande wangu suala zima la kujua masoko na kutafuta wateja limekuwa msumari wa moto kwa wafanyabiashara wengi na wajasiriamali...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Matatizo ya Kimara yamehamia Bunju

    Kwa ufupi, Sijui mipango ya hii miji inapangwa vipi. Kipindi serikali inafanya juhudi kutanua Morogoro road moja ya sababu kuu ilikuwa ni kuzidiwa kwa wingi wa magari. Hivi nani aliamua mabasi sasa yaanze kupita Bagamoyo road na huku Morogoro imetanuliwa na bila upanuzi wa Bagamoyo road? Hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda anarudia yale yale ya Mobutu: kutumia umaarufu kufunika matatizo ya watu

    Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la Arusha kwamba angemleta nguli wa filamu na mwanasiasa wa Marekani, Arnold Schwarzenegger, katika sherehe...
  16. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mitandao ya simu

    Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena. Imeunganishwa na akaunti yako ya benki. Barua pepe yako. Akaunti zako za kazi. Maisha yako binafsi. Mara tu namba hiyo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Uchaguzi ulikuwa na matatizo, tusingeshiriki huo uchaguzi usingejadiliwa leo

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa na matatizo
  18. JamiiForums Tanzania Tunafanya makosa badala ya kuongelea kiini cha matatizo yote report inamsafisha muuaji samuya.

    Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
  19. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia wana matatizo ya akili

    Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia? Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli. LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
  20. JamiiForums Tanzania Shabiki maarufu ‘Lumumba Vea’ akwama kusafiri kuiashangilia DRC kwa matatizo ya visa

    Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya taifa, baada ya kunyimwa viza. Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 53 alijitokeza hadharani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…