Marekani inajiamini kuwa inaweza kuitishia nchi yoyote kama itaona kuwa inataka kufanya jambo ambalo litaathiri maslahi ya Marekani, hata kama jambo hilo ni kwa manufaa ya nchi hiyo.
Hapa duniani ziko nchi ambazo zimedhihirisha uthubutu wa kuiambia marekani ikome kuingilia maamuzi yao na...
Utangulizi
Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
Kumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo.
Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk.
Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki.
Viongozi...
Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
Wasalaam wanaJF,
Nikienda moja kwa moja kwenye mada, serikali iliyopo madarakani imekuwa na kawaida ya kudharau sana wananchi na kufanya wanachotaka.
1. Kodi zisizo na ulazima tena kwa vitisho na kejeli.
2. Matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Hii sio kwa wapinzani tu, kuna raia wa kawaida...
Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake.
Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake.
CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.