matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na Umasikini Wetu, Kamwe Tusikubali Kuwanyenyekea Matajiri Wanaotunyanyasha kwa Jeuri ya Pesa Zao!, Ili Kujenga Heshima, Tuwe Masikini Jeuri?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Siamini kama kuwa tajiri kunahitaji akili,maana matajiri wengine hawana akili kabisa

    Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote. Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wawekezaji wote Katika soka hawaongei Sana kama Mo Dewij kanjibhai ?

    Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo. Au...
  4. JamiiForums Tanzania Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

    Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu. Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri MASKINI 1.Matajiri Ni Mafisadi 2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga 3.Matajiri Ni Freemason 4.Matajiri Wameachiwa Urithi 5.Matajiri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jamii tajiri zaidi Tanzania?

    Tanzania ni nchi kubwa , na yenye Jamii nyingi za asili mbalimbali, Lakini kiuhalisia kutokana na mambo ya historia na maeneo zilizopo jamii hizo imesababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezo mkubwa kifedha kuliko jamii Nyingine. Kwa miaka Mingi tokea uhuru jamii za Wahindi na waarabu zimeendelea...
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Heche zinafukuza matajiri kuchangia CHADEMA

    Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo. CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha...
  9. JamiiForums Tanzania Masikini wengi wakiwaongelea vibaya Matajiri huwa wanapata auheni ya kisaikolojia

    Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakifikisha miaka 60+ huanza kurudi kwenye kilimo?

    kama umegundua Watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara au sekta nyingine mbalimbali, wakifika umri mkubwa hasa miaka 60 na kuendelea, wanaanza kuhamishia nguvu zao kwenye kilimo. Mfano, Shabiby wa dodoma amefanya sana biashara ya mabasi na siasa, lakini sasa anaonekana kuwekeza kwa ukubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hatujuani ila kuna members wenzetu humu JF na hata ndugu zako matajiri wanaingiza hela za usiku wengine wanaita husttle wengine wanaita black market

    uchumi wa dunia sio GDP rasmi za nchi pekee kuna upande mwingine mkubwa sana wa uchumi ambao haupo kwenye reports rasmi za serikali wala World Bank. Huu ndio Black Market au unaeza ita Shadow Economy. Inaaminika karibu asilimia 5 ya GDP ya dunia hupitia kwenye money laundering na criminal...
  12. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

    Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?
  13. JamiiForums Tanzania Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

    Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini! Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri siku zote humchagua kiongozi dhaifu ili wawe huru wafanye watakavyo

    Ndicho kilichotokea katika inchi ya kusadikika sasa hivi watu wanajipigia tu wanavyotaka
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji matajiri wa kuwanunulia korosho.

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya kazi tutaelewana .
  18. JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni mabeberu mbona viongozi wetu ni matajiri?

    Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu. Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
  19. JamiiForums Tanzania Matajiri mbona hamtangazi nafasi za kazi?

    Heshima yenu Wakuu Niruke moja kwa moja kwenye mada Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni? Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…