Moja kwa moja kwenye mada
Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku...
Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utaanza Juni 30 hadi Julai 3 na miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye ajenda ya mkutano huo ni mataifa kuondolewa mzigo wa madeni.
Kuongezwa misaada na marekebisho ya kodi.Viongozi wa ulimwengu watakuwepo katika eneo la kusini mwa...
Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni.
Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo.
Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao...
Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
Baada ya Israel kuishambulia Iran
Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran...
Huo ni unabii ulioandikwa katika Zekaria 12:2 –
“Tazama, nitaufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewesha kwa mataifa yote yaliyo pande zote…”
Mungu alimtumia Nabii Zekaria kutoa unabii huo wa ajabu kwamba Yerusalemu haitakuwa tu mji wa kawaida, bali utakuwa kikombe cha kulewesha.
Katika lugha...
Waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti ya taifa amewataka wananchi kuilinda amani na wasikubali mksingi ya taifa ikatikiswa kwani mataifa yaliyofanya mazaha na jambo hilo iliingia kwneye mifarakano.
Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza.
Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya.
Maisha marefu ya raia wa...
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
Inatia simanzi kwa kweli!
Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].
Hamas are no heroes. They are suckers and losers.
Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.
What kinda hero puts their people through such...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao...
“All imperialists are nothing but paper tigers.”
- Mao Zedong
Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu.
Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu.
Siku hiyo kwa tambo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.