maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 🐔 Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! 📱💰

    Habari ndugu mfugaji! 👋 Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓 Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii 👇 📋 Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  3. JamiiForums Tanzania naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Afisa utamaduni II nimechaguliwa kwenda written interview lakini sijui maswali yanatokaje, naomba kueleweshwa
  4. JamiiForums Tanzania Benson Kigaila mwana G55: Akiwa kwenye kiti moto cha Odemba wa StarTV, akijiuma uma na kujichanganya

    https://www.youtube.com/live/nvKNTGAG-9Q?si=H3CYz7QBr2c2gMz9 Sasa unaweza kuelewa ni kwanini hawa jamaa wa wanaojiita G55 ni wajinga wa kiwango cha huyu mzee Benson Kigaila.. Akataa katakata kujibu swali la mke wake kuwa miongoni mwa wale wabunge 19 na kwamba kama ni yeye ndiye aliyesaini fomu...
  5. JamiiForums Tanzania Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  6. JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: 1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba? 2. Kwa kutumia...
  7. JamiiForums Tanzania Maswali ya kada mmoja mtiifu

    KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇 Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli? Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi? Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi? Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara...
  8. JamiiForums Tanzania Maswali kuntu kwa Wenye viapo vya Kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo gereza la ukonga; 1. Amezuiliwa kufanya sala kwa mujibu wa dini yake ya Ukatoliki ikiwemo kushiriki...
  9. JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  10. JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  11. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuniona, maswali yasiwe mengi

    Na niweke wazi, nimeoa na hakuna nafas ya kuongeza mke mwengine.
  12. JamiiForums Tanzania Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

    Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan, Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani. Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya? Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Level ya diploma information and communication technology nauliza maswali ya practical interview yana base wapi

    Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
  16. E

    JamiiForums Tanzania Maswali lukuki ajali, kifo bosi Tanesco

    Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo. Miongoni mwa maswali...
  17. JamiiForums Tanzania Msanii wa Muziki Patience Namadingo amuuliza maswali magumu na kutoa hoja nzito Rais wake wa Malawi, Chakwera

    Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was upon receiving the invitation to engage in a conversation with President Lazarus Chakwera. Addressing...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…