masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Kundecha aishukuru serikali kuruhusu masomo ya dini shuleni itasaidia walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabuni

    “Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

    SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026 Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
  5. bulajunior

    JamiiForums Tanzania PEC Pre & Primary school Kilwa -Masomo.

    Habari za humu wakuu? naomba kujuzwa jamani kama hii shule ipo active na ikiwezekana nipate mawasiliano namba za simu au baruaapepe yao. Asanteni 🙏🙏🙏🙏
  6. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa, hiyo Samia scholarship kwanini mnaitoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya Science?.

    Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu . Acheni siasa katika...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri asema Wanafunzi 𝟭,𝟬𝟱𝟭 kupata ufadhili wa Masomo 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗟𝗔𝗥𝗦𝗛𝗜𝗣

    Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa mwaka huu wa masomo. Akizungumza Julai 22, 2025, Jijini Dodoma na waandishi wa habari , Waziri wa...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Jinsi vyuo vikuu barani Afrika vilivyo poteza uhuru wao wa masomo

    Je, hali na hatima ya uhuru wa kitaaluma katika vyuo vikuu vya Afrika ikoje? Ni kwa jinsi gani na kwa nini vyuo vikuu barani Afrika vimepoteza uhuru wao wa masomo hapo kwanza? Je, ni aina gani zinazoendelea za mapambano na upinzani wa kurejesha uhuru wa kitaaluma katika elimu ya juu barani...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafaulu sekondari hasa masomo ya hesabu mlikuwa mnatuchukuliaje sisi tuliokuwa tunafeli?

    Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona...
  12. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hizi kazi za ualimu wa masomo ya biashara, mbona sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia?

    Wamesema vigezo ni mtu yeyote aliyesoma shahada ya Biashara lkn kwa sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia. Tunatatuaje hii changamoto wakuu?
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Maarifa ni dhahabu masomo ni tiba

    . Hebu angalieni hii picha, lakini msiishie kuiangalia, itazameni na mnapoitazama, itazameni kwa makini. Kisha tafakari ujumbe ufuatao👇👇👇 Hivi unajua kwamba kila mmoja wetu hapa duniani amefanikiwa? Yaani hakuna mtu duni, maskini, fukara, boya, lofa wala kenge. Uduni, umaskini na ufukara...
  17. Natafuta pesa

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere alikuwa anafundisha masomo gani??

    Tafadhali rejea kichwa cha "thread" hapo juu.
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi, hisabati 17,354

    SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika waalimu wa masomo ya Math na Economics

    Wakuu wasaalaam ! Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge. Kwa yeyote aliye na ujuzi wa kufundisha hayo masomo kwa mtaala wa Cambridge ana PM ili nimuunganishe na Mzazi wa huyo...
Back
Top Bottom