masomo ya sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  2. Fbn

    Kama umesoma masomo ya sayansi na teknolojia movie za wahindi huwezi kuwa mpenzi nazo

    Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM. Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso. Sasa hawa watu wa asia mnawezaje kuangalia masinema yao yani stering kafa mwanzo wa sinema alafu mbwa na...
  3. joku

    Kwa kozi hii stashahada maalumu ya masomo ya sayansi (Chemistry and Mathematics) je naweza kupata mkopo kutoka HESLB

    Habari zenu jamani Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana nilimpata division III ya 24 selection zilivyo toka nimepangiwa nikasomee iyo kozi hapo juu katika chuo Cha Korogwe teacher college Sasa nilikuwa na uliza je naweza kupata mkopo wa heslb
  4. Just Pray

    TAMISEMI: Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi, hisabati 17,354

    SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
  5. Papaa Mobimba

    Kamati ya Bunge: Kuna shule zinazofundisha masomo ya Sayansi bila kuwa na maabara

    Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza kuwa kuna shule kadhaa zinazofundisha masomo ya sayansi bila kuwa na maabara, hali inayotia wasiwasi hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya mwisho mwezi Mei 2025. Mwenyekiti...
  6. Stephano Mgendanyi

    Musoma Vijijini Yaendelea na Ujenzi wa "High Schools" za Masomo ya Sayansi

    MUSOMA VIJIJINI YAENDELEA NA UJENZI WA "HIGH SCHOOLS" ZA MASOMO YA SAYANSI Mahitaji makubwa ya sasa ya Dunia ni kuongeza wataalamu kwenye nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu (science, technology and innovation, STI). Msingi mkuu wa wataalamu wa aina hiyo ni masomo ya sayansi kuanzia shule...
  7. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi na Uanzishwaji wa "High School" za Sayansi, Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya Fizikia, Kemia na Bailojia Jimbo letu linao mradi kabambe wa ujenzi wa maabara hizo tatu kwa kila...
  8. S

    Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  9. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Maabara Tatu za Masomo ya Sayansi Kwenye Kila Sekondari ya Kata Unaendelea Vizuri: Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE KILA SEKONDARI YA KATA UNAENDELEA VIZURI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 kwa sasa lina Sekondari 26 za Kata na 2 za Madhehebu ya Dini. Ujenzi wa Sekondari mpya 11 unaendelea kwenye baadhi ya Kata. Ujenzi wa maabara tatu za masomo ya...
  10. Munch wa Annabelle

    Natafuta kazi ya kujitolea mimi ni Mwalimu wa Biology na Geography

    Wakuu natafuta sehemu yeyote ya kujitolea kufundisha hayo masomo, kama kuna shule inahitaji mwalimu nipo hapa kwasasa nipo Dar es Salaam Soma Pia: Anahitajika Mwalimu wa Kujitolea kufundisha Shule ya English Medium
  11. Samia atosha tukutane2030

    Mimi nilijitoa masomo ya sayansi. Hawa wanasayansi wa kujadili jezi za Simba na Yanga tusahau kuona uvumbuzi mpya

    Hello! Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry. Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa...
  12. ELI COHEN

    Private high school ipi ni bora Mwanza kwa masomo ya sayansi?

    Dogo ni mvulana na anataka achukue PCB. High school yenye sifa ya kufaulisha vizuri kila mwaka.
  13. Stephano Mgendanyi

    Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  14. bjhjhj

    Serikali inahimiza vijana wasome masomo ya sayansi na teknolojia halafu wakigraduate wanawaachia manyoya

    Serikali ya Tazania inahimiza vijana kusoma masomo ya sayansi hasa uhandisi alafu sasa wakigraduate wanaacha vipaji vinaishia mtaani. Serikali kupitia secretariet ya ajira inabidi ijitahidi kutoa ajira nyingi kwa wahandisi wenye vigezo kwa kadri inavyoweza ili kupata wahandisi wazawa.
  15. Suley2019

    Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  16. Mi bishoo tu

    Kwa Nini walimu wa kiume masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu (hawajipendi)ukilinganisha na wale wa masomo ya Sanaa(Arts)?

    Wadau nimefanya utafiti mdogo Kwa nini walimu wa kiume wanaofundisha masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu kimuonekano ukilinganisha na masomo ya Sanaa?
  17. Stephano Mgendanyi

    Sekondari za Kata Zaendelea Kujenga Maabara Masomo ya Sayansi

    SEKONDARI ZA KATA ZAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina Sekondari za Kata 25 na za Binafsi 2. Jimbo hili limeamua kujenga Maabara 3 za Masomo ya Sayansi kwenye kila Sekondari ya Kata. Maabara hizo ni za Physics, Chemistry & Biology...
  18. Stephano Mgendanyi

    Fedha za Mfuko wa Jimbo Zaelekezwa kwenye Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi

    Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini. Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
  19. Stephano Mgendanyi

    Seka Sekondari - Wanavijiji waamua kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi

    SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano. Sekondari hii iliyojengwa Kijijini Seka, Musoma Vijijini, ilifunguliwa tarehe 5.7.2021. Sekondari ina jumla ya wanafunzi 344 (Vidato...
  20. McCollum

    TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
Back
Top Bottom