masomo ya sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Private high school ipi ni bora Mwanza kwa masomo ya sayansi?

    Dogo ni mvulana na anataka achukue PCB. High school yenye sifa ya kufaulisha vizuri kila mwaka.
  2. Stephano Mgendanyi

    Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  3. T-pain

    Serikali inahimiza vijana wasome masomo ya sayansi na teknolojia halafu wakigraduate wanawaachia manyoya

    Serikali ya Tazania inahimiza vijana kusoma masomo ya sayansi hasa uhandisi alafu sasa wakigraduate wanaacha vipaji vinaishia mtaani. Serikali kupitia secretariet ya ajira inabidi ijitahidi kutoa ajira nyingi kwa wahandisi wenye vigezo kwa kadri inavyoweza ili kupata wahandisi wazawa.
  4. Suley2019

    Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  5. Mi bishoo tu

    Kwa Nini walimu wa kiume masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu (hawajipendi)ukilinganisha na wale wa masomo ya Sanaa(Arts)?

    Wadau nimefanya utafiti mdogo Kwa nini walimu wa kiume wanaofundisha masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu kimuonekano ukilinganisha na masomo ya Sanaa?
  6. Stephano Mgendanyi

    Sekondari za Kata Zaendelea Kujenga Maabara Masomo ya Sayansi

    SEKONDARI ZA KATA ZAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina Sekondari za Kata 25 na za Binafsi 2. Jimbo hili limeamua kujenga Maabara 3 za Masomo ya Sayansi kwenye kila Sekondari ya Kata. Maabara hizo ni za Physics, Chemistry & Biology...
  7. Stephano Mgendanyi

    Fedha za Mfuko wa Jimbo Zaelekezwa kwenye Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi

    Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini. Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
  8. Stephano Mgendanyi

    Seka Sekondari - Wanavijiji waamua kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi

    SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano. Sekondari hii iliyojengwa Kijijini Seka, Musoma Vijijini, ilifunguliwa tarehe 5.7.2021. Sekondari ina jumla ya wanafunzi 344 (Vidato...
  9. McCollum

    TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  10. REJESHO HURU

    Walimu wa masomo ya sayansi jitathimini

    Niende moja kwa moja kwenye mada walimu wa masomo ya sayansi ebu angalieni ufauru wa matokeo ya wanafunzi kidato cha pili arafu mkae chini mjitathimi maana haiingii akilini mtoto wa kidato cha pili anaepata A somo la kingereza arafu anapata F somo la Biology au Chemistry kidato cha pili kweli...
  11. N

    Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

    Habari! Naitwa Nazaely Shani natafuta shule ya kufundisha profession ni mwalimu wa Chemistry na Biology olevo hadi advance. Check me 0743303233 au 0673803233
Back
Top Bottom