maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  4. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

    1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa Wanaume tunawajua wanawake vizuri sana ila tunazuga hatuwajui kwa Maslahi yetu

    Hamjambo! Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu. Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Neno "Kwa maslahi ya Taifa" ni joka kubwa linaweza kummeza hata anayelifuga

    Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani. Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba. Walinda katiba ni kama...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

    Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake. Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa. Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar Kuimarisha Ushirikiano kwenye maeneo ya kimkakati

    Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump alivyogundua Putin hana 'uswahiba' inapofika maslahi ya Urusi

    Rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuiuzia Ukraine silaha za kukabiliana na makombora ya Urusi pamoja na kushambulia pia vikosi vya Urusi. Vifaa hivi vitalipiwa na nchi za Ulaya. Haya ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa Trump dhidi ya ushiriki wa Marekani katika vita vya Urusi na...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

    Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  14. PLOII

    JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  16. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

    Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U. Ngoja nieleweke vizuri hapa, Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukiona taifa lina mwanasiasa ambaye hapendi taifa lake liwe na katiba ambayo italinda maslahi ya taifa ujue huyo yupo kwa ajili ya tumbo lake

    Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba. Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi. Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

    Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi. Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Ukraine haziachwi zijiamulie mambo yao wenyewe kwa maslahi yao kama mataifa huru?

    Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
  20. 0

    JamiiForums Tanzania Je, Kipi bora? Unachopenda au chenye Maslahi??

    Habari za muda huu wanajamii forum! Mimi ni form four leaver 2024 napenda kusomea engineering atah selection nmepangiwa PCM ila sijui Kama mbele itakuwa na maslahi MAKUBWA🤔🤔 Ila nafikuria kusoma diploma ya radiology ambayo ajira yake ni uhakika Kwa upande wangu pia maslahi yake ni mazuri...
Back
Top Bottom