maskini

Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya familia na kufurahi na maskini

    Kwa sasa maisha ni magumu mno,vipato ni vidogo na matumizi ni makubwa sana.Kinachotakiwa ni kuacha tamaa na uvumilivu mkubwa sana,ama wewe na mkeo au wewe na mmeo,au kwa mabachela,bila hivyo kuangamia ni rahisi sana
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA imetajirisha wengi huku Lisu akizidi kuwa maskini akipigania misingi ya chama

    Wakuu.... Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama. Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

    Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

    Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi. Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini...
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

    Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba. Kulingana na data za Ofisi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri wana mfumo wa kuvuta hela na maskini wana mfumo wa kuvuta majungu

    MATAJIRI WANA MFUMO WA KUVUTA HELA NA MASKINI WANA MFUMO WA KUVUTA MAJUNGU. Maskini anajua wapi apate umbea wa moto yaani kama unataka umbea kwake utaupata ila tajiri anajua wapi kuna mchongo wa pesa yaani anajua nani amtafute apate mchongo wa pesa. Hapa nazungumzia maskini wa asili na...
  7. JamiiForums Tanzania Bora kufia jela kuliko kufa maskini

    #usiue #usikabe #usipore
  8. JamiiForums Tanzania Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

    Karma Doesn't exist. Karma ni dhana ya kimaskini inayowapa matumaini uchwara watu maskini kujifariji na matatizo yao dhidi ya watesi wao. Mababu zetu waliteswa sana na kusulubishwa ipasavyo wakati wa utumwa na ukoloni, Lakini hiyo karma haijawahi kufanya, haijafanya na haitakaa ifanye chochote...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeridhika chanzo kimoja na asiye na chanzo wote ni maskini tena mwenye chanzo ni maskini zaidi anayejidanganya kuwa ni tajiri

    Umaskini una tafasiri pana pia una nyanja nyingi kujieleza ila umaskini wa kiuchumi huelezwa zaidi kupitia vyanzo vyako vya pesa na uhuru upatao wa kiuchumi. Moja ya kitu ambacho wengi hujidanganya ni kujiona tajiri kwa kuwa na chanzo kimoja huku ukimcheka asiye na chanzo kabisa kuwa ni maskini...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

    KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko. Mambo mengi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiita maskini jeuri, jua hiyo jeuri ndiyo inafanya uzidi kuwa maskini

    Mara kadhaa Masikini tumekuwa na kauli mbali mbali za kuonyesha kuwa Umaskini ni haki yetu na moja wapo wa kauli ni hii MASKINI JEURI, Yaani Maskini pia Jeuri . Na kweli ukiwaona MASKINI jeuri utasema kweli jeuri imewaponza , Kwa sababu wamejiweka kwenye mazingira ambayo hawasaidiki Maskini...
  13. JamiiForums Tanzania Dakika chache za kuamua uwe Maskini /Tajiri

    Habari za muda huu wanajamvi. Katika harakati zetu za utafutaji Kuna mambo mengi hautokei, mengi hutuimarisha lakini hata kutuvunja moyo pia. Naamini Kila anaepambana awe mwanaume/mwanamke, lengo Huwa nimafanikio katika uhuru wa kifedha. Sasa Kuna Ile Hali sijui niite kucheza karata muhimu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa maskini Tanzania ni chaguo la mtu mwenyewe. You can choose to die poor

    1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha. Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha Kwanza alilimishwa na Doni mmoja pale kijijini kwa makubaliano ya kupewa baiskeli used phoenix...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi

    Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi 😔 1. Maisha sio vita 2. Maisha ndio haya haya tu 3. Pesa hainunui furaha. 4. Utajiri ni dhambi. 5. Kila tajiri ana ushirikina. 6. Pesa sio kila kitu. 7. Mapenzi ni upendo pesa ni ziada tu 8. Utajiri unatesa sana bora hata usiwe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maskini aliyeridhika hujimbeleleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi

    Umaskini haufai, na kama ukiwa maskini ukaishi kwa misemo kama hii, ni ishara kuwa umeamua kuukubali, na kwa hakika utateseka. Hakuna cha kusema “maisha ndiyo haya haya tu” - kuna mazuri zaidi ya hayo. Acha kujifariji kwa misemo kandamizi kama ifuatayo: 1. Maisha si vita. 2. Maisha ndiyo haya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Bongo hii ukiajiriwa ni sawa umesaini mkataba wa kuwa maskini daima

    Hello! Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi? Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada, umeme, ndugu, michango, dharura, mavazi n.k jibu linakuja NEGATIVE. Wengine wanaamua kukopa walipwe 33%...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muogope mtu ambaye ni maskini ila anaishi kitajiri, kimahusiano atakufilisi

    Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
  20. M

    JamiiForums Tanzania MUOGOPE MTU AMBAYE NI MASKINI ILA ANAISHI KITAJIRI, KIMAHUSIANO ATAKUFILISI.

    Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…