masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

    Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini! Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa...
  2. Mikopo Consultant

    Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

    Hii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto currencies, forex, etc. Hii imekuwa ikinishangaza sana. Unakuta Gavana wa Benki Kuu anakaza shingo kweli...
  3. Tajiri Tanzanite

    Simba msikubali hizi faini mnazopigwa na bodi ya ligi, wanaibeba timu masikini halafu pesa wanachukua kwenu

    Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai. Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
  4. K

    Mtoto wa masikini usiingie mkenge huu wa kwenda Urusi kuipambania

    Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe. Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti meseji ya mshahara imeingia! Kulikua na umuhimu kutuambia suala hilo?! Eti hakuna shida yoyote, uende...
  5. Think2

    Masikini demu wa kilokole kaliwa kirahisi hivi, sikutegemeq daah

    Huyu mrusi kazi yake kuwala wadada tu adi kanisani , haangalii sura yeyote analiwa tu asee. Sikutegemea kama binti wa kilokole anaupolewa kirahidi hivyo duuuh Mwanamke ni kiumbe hatari sana.
  6. K

    Masikini Samia, kabaki na machawa tu

    Mama Samia ambaye alikuwa anakutana na kuombwa mikutano na maraisi wa nchi kubwa kubwa sasa kabaki kufanya mikutano tunguu zanzabari na machawa😇 . Yote yanatokana na tamaa za pesa na ubinafsi badala ya kuweka nchi mbele. Kajaza familia kwenye uongozi na watu ambao ni machawa lakini ataondoka...
  7. DeMostAdmired

    Multiparty democracy ni sumu kwa mataifa masikini hasa ya Kiafrika

    Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa. Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026. Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
  8. Kijakazi

    Afrika ni masikini kwa sababu walidanganywa na communists!

    Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60 baada ya uhuru ku-undo colonial capitalistic economic system iliyokuwepo ambapo ilikuwa well...
  9. Lord Denning

    Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  10. ELI COHEN

    Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  11. JF Member

    Mawaziri wameamua kuwa masikini kama Wazee wa Kwa Tandale

    Inashangaza sana mawaziri wetu wameamua kuwa masikini, wanakili hawanakitu. Huu uongo ni mbaya kuliko mambo yote muliowahi kufanya huko nyumba. Afu kwa bahati mbaya, kwa Sasa kila kitu kiko kwenye mtandao. Ni maadili ya kazi tu ndio yanafanya watu wasilete nyaraka. Ila unaumiza sana...
  12. Imani rubaba

    Kama tunakula kila siku.. Kwanini wanaozalisha chakula wanabaki masikini

    Tanzania ni nchi inayotembea juu ya mabega ya wakulima na wafugaji. Kila sahani tunayoweka mezani ni matokeo ya jasho lao—wakati mwingine jasho la mwisho kabisa. Lakini cha kushangaza ni kwamba, kadiri mahitaji ya chakula yanavyoongezeka… ndivyo simulizi za umasikini, madeni, na mapambano...
  13. Idugunde

    Gumzo kubwa leo: Uwe masikini au tajiri, hamia Burundi kama hutaki tozo

    Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
  14. Luca Paguro

    Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

    Hivi ni mimi peke yangu naliona hili? Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi nikadhani ni huku tu hali ni mbaya, mpaka nilivyopata exposure. Maeneo mengi nilizunguka zamani utotoni...
  15. Mto wa mbu

    Thobias Mwesigwa: Kutoka kwenye familia masikini hadi kuwa 'Mratibu wa Utekaji'

    Ni usiku wa manane hapa Trump land, lakini Sina usingizi kabisa naiwaza nchi yangu. Leo naomba mmjue huyu Thobias aliyegeuka kuwa kilio kwa familia nyingi. Tobias Richard Mwesigwa alizaliwa katika kitongoji cha Nyarubanja, Kijiji Cha Rukurungo, kata ya Bugandika, wilaya ya Missenyi, mkoani...
  16. PROFOUND NOTION

    Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

    Cuba Vietnam Tz Zambia North korea Laos Cambodia Mozambique Albania Na wengine sana tu.. Vilichezewa foul bila kujijua kuwafaiddisha wao pekee. UKOMONISTI NI USHETANI
  17. Think2

    Tanzania sio nchi masikini

    Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado...
  18. J

    David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  19. ELI COHEN

    Sijui kwanini baadhi ya vijana wengi waliotekea familia masikini alafu wakahi kutusua kimaisha wanakuwaga "matajiri limbukeni"

    Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani. Anyway pesa...
  20. M

    Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM? Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao! Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...
Back
Top Bottom