Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi.
Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki
Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi
Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot
Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
Wakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee.
Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti...
Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.
Nimesikia watu wanasema Rais amechafukwa hebu acheni kuleta masihara anataka tutimize haki zetu kupiga kura afanye mabadiliko ya kiuchaguzi hakuna haki za mdomo pekee hayuko serious.
Hatuwezi kutimiza haki zetu kwa uchaguzi huu unaofanyika vile mtu mmoja anataka ufanyike hivi na sio watanzania...
Wakuu !
Wasalaam wote nawasalimu kwa jina la Jamiiforums mahali ambapo tunathubutu kuzungumza kwa uwazi mitazamo na mawazo yetu.
Shukrani zimwendee Kaka Maxence Melo kwa kutuleta hapa pamoja, watu wenye mawazo, hoja, fikra na maono tofauti.
Nimelazimika kuanzisha huu uzi kwa lengo la kuyasema...
Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G
Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
Wakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa...
BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21.
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja.
Sasa...
Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka.
Shikamooni sana Namba M na labda...
A:Waponda dar
1. joto (umaskini & njaa)
2.kero ya usafiri (jam)
3.uchafu (miundombinu)
4.maadili mabovu(usasa)
B:wapenda dar
1.michoro nje nje (madeal)
2.starehe,anasa na vibe(viwanja)
3.Totoz (everywhere)
4.maujanja yote (sekta zote)
Habar za muda huu ndugu zangu,
Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali, na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda hadi ujute kwanini ulichukua namba yake.
Hello mambo aje JF!
Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
Iran yamnyonga raia mwenye uraia wa Uingereza na Iran
Raia wa Uingereza na Iran Alireza Akbari, ambaye alihukumiwa hukumu ya kifo nchini Iran, amenyongwa.
Familia ya Bw Akbari ilikuwa imeombwa kwenda katika gereza lake kumuona kwa “mara ya mwisho" siku ya Jumatano na mkewe alisema alikuwa...
Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye...
Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja.
Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka.
Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.