mashuhuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Kichapo kikali chatarajiwa Kherson mji mashuhuri Kusini mwa Ukraine

    Afisa mmoja mwandamizi wa Ukraine amesema Urusi inajiandaa kwa "mojawapo ya mapambano makali" katika eneo la kimkakati la Kherson lililoko kusini mwa Ukraine. Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi inajiandaa kuutetea mji mkubwa ulio chini ya udhibiti wake nchini humo. Wanajeshi wa Urusi...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mkosoaji Mashuhuri wa Serikali ya Sierra Leone auawa na Polisi

    Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji ya kiholela na shutuma za kuwalenga watu wa upinzani Kulingana na polisi, Hassan Dumbuya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ITV wametoa tamthiliya ya uzalo kutoka saa 1:30 wakaweka tamthiliya nyingine muda huo

    Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
  4. genius_

    JamiiForums Tanzania Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

    Wakuu habari, Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki n.k Ebu tuambie na wEwE unafanana na mtu gani mashuhuri hapa duniani, binafsi mm nafanana sana na...
Back
Top Bottom