masheikh

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kesi ya Masheikh; Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Jamhuri kutaka mashtaka 14 yaliyofutwa Mahakama Kuu kurudishwa

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WAPATA USHINDI MKUBWA MAHAKAMA YA RUFAA LEO Hukumu ya rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh imesomwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania. Majaji watatu wa Mahakama hiyo wametupilia mbali rufaa ya upande wa Jamhuri ya kutaka...
  2. I

    Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh. Baada ya uamuzi huo...
  3. Course Coordinator

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
  4. M

    Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

    Tunakwenda mwaka wa saba au nane, Masheikh wasio na hatia wako Jela. Waliwekwa ndani na Kikwete, Wakakandamizwa ndani na Magufuli, na Sasa Samia anakaribia Mwezi mmoja madarakani bado serikali yake imewaweka Jela. Siyo masheikh wa Uamsho tu, kuna mamia kwa mamia ya Masheikh nchi nzima wasio na...
Back
Top Bottom