Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari. Inshallah mwenyezi Mungu atatupa kheri kwenye hili. Nye mwaona madevu mwaita sheikhe au mwaona kilemba...
Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC.
Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa.
Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
Mababa Askofu.
Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini.
1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa.
Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko...
Dini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake.
Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha mwisho kuabudu ujinga huu wa dini za kuja na vitabu vyake.
Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE.
Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU.
Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
Wakuu,
Akizungumza katika kongamano la viongozi wa dini ya kiislamu leo, Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema kuwa Waislamu mkoani Mwanza wameamua kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kupiga kura kwa amani na utulivu ifikapo Oktoba 29, mwaka huu ili kulinda...
Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende.
Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu....
https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633
https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
Tofauti na awamu nyingine ambazo ilizoeleka wenye maslahi mapana kwenye chama, wanaharakati huru na watu wazito walikuwa wakijitokeza zaidi kujibu mashambulizi na kuutetea muhimili zama hizi wasanii wengi hasa wakiwa wepesi na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi...
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
Msijiingize ktk siasa na kuchagua chama cha kufanyia siasa kama mwanachama.
Mkitaka kuingia ktk siasa basi msibase sehemu moja ya siasa.
Mkiingia ktk siasa kama sheikh Ponda wa Act wazalendo na sheikh Kadogoo wa Chadema heshima itaondoka na itapotea inamaana mtazungumza kwa maslahi ya vyama na...
Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la...
"Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
Juzi niliona Clip ya Sheikh Mmoja anasema Kwa nini Viongozi wa Kikristo Wanamuandama Mama Samia tofuati na Marais waliopita ambao walikuwa wakristo.... nikacheka tu kwa namna alivyokuwa anatengeneza hoja kitoto sana, kama mtu hasiyekuwa na Elimu. Askofu Gwajima katoa hoja bila kuegemea upande wa...
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.