Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
Mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran yaliyoaanza Februari 28, 2026 yaliyomuondoa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Alli Khamenei yanaendelea hadi sasa huku vifo na majeruhi vikiongezeka katika maeneo tofauti Mashariki ya Kati
Shirika la Habari la kimataifa la Al Jazeera imetoa idadi...
Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz, licha ya kuwa nchi hizo zilikuwa zinaitegemea Marekani kiulinzi kwa zaidi ya miaka 40.
Trump anadai...
Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters.
Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
Al-Ma'idah (5:51).
Aya (tafsiri ya Kiswahili):
“Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa walinzi (au washirika wa karibu wa ulinzi); wao ni walinzi wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu atakayewafanya kuwa walinzi wake basi huyo ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu...
Inasemekana mama Samia, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.
Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.
Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo...
Leo tarehe 3 Machi, 2026, wakati ulimwengu unatikiswa na vita inayoyoelendela mashariki ya kati, kwa upande wa Ulaya na washirika wa NATO wamejikuta na mtikisiko mwengine, hii ni baada ya uamuzi mzito kutoka Ikulu ya Marekani (White House). Rais Donald Trump ametangaza rasmi kusitisha mahusiano...
TAARIFA KWA UMMA
USHAURI WA HALI YA USALAMA NA USAFIRI KWA RAIA WA TANZANIA WANAOISHI AU KUSAFIRI MASHARIKI YA KΑΤΙ
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafuatilia kwa karibu hali ya usalama inayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati. Kutokana na mazingira ya kiusalama yanayoendelea...
Wakuu,
Nimeona ni vyema tushirikishane taarifa muhimu iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ya tarehe 02 Februari 2026) kuhusu usalama wa ndugu zetu waliopo au wanaopanga kusafiri kuelekea nchi za Mashariki ya Kati.
Kutokana na hali ya usalama inayoendelea...
Mashariki ya Kati yawaka moto
Tulijadili suala la vita mashariki katika nyuzi tofauti. Kwa umuhimu wa tukio linaloendelea uzi huu utajadili kwa kina nini kimetokea, kinatokea na kitakachotokea siku za usoni
Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kwa makusudi au kutoelewa au kuelewa nusu...
There is something wrong somewhere!
Watu wengi huangalia juu juu tuu.
Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu!
Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo..
Palestine ISSUE"
Fatah ndio...
PM imejaa messages kuniomba nitoe msimamo wangu kuhusu hii vita ya Iran, USA na Israel. Hii ni kwa sababu mara nyingi msimamo wangu ndo huwa msimamo wa JF.
WanaJF mko sahihi kabisa kuja kwa wingi PM kunisihi niseme kitu.
Nipeni muda nikusanye facts za kutosha kabla sijatoa TAMKO.
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema Kenya inalaani vikali mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Oman, Kuwait, Jordan na Bahrain katika mzozo unaoendelea kuongezeka Mashariki ya Kati.
Amesema ni wazi kuwa kuenea kwa mzozo huo katika...
Mjadala mkubwa kwa sasa ni Operation ya Marekani dhidi ya Iran katika harakati za kuondosha serikali inayoita ya Mkono wa Chuma,ambapo kwa taarifa imesema kuwa imefanikiwa pakubwa kwa wauwa viongozi wa juu(Maamuzi).
Lakini binafsi naona hakutakuwa na Mshikamano ndani ya Irani endapo Wairani...
Wakuu,
Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah".
Maeneo yaliyoshambuliwa ni makazi ya Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na kiongozi wa dini na kiongozi mkuu wa Iran...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu
Lakini pia tuwaombee watu...
Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ?
Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.