mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
  2. Fadlu apagawa kipaji cha Mpanzu, awaita mashabiki

    Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa, wakae tayari kumuona mchezaji mpya, Elie Mpanzu, akisema ataongeza kitu ndani ya kikosi chake kutokana na kipaji kikubwa alichonacho...
  3. Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  4. Mashabiki wamchana Davido kisa kupiga Marekani

    Davido, msanii maarufu wa Nigeria mwenye uraia pacha wa Marekani na Nigeria, amejikuta kikaangoni huko mitandaoni baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura nchini Marekani na ku-share furaha yake kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter (X) na Instagram. Akiandika "First Time Voter". Suala ambalo...
  5. K

    Sisi mashabiki wa klabu ya Yanga tumefurahi sana jana usiku

    Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha. Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia...
  6. Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
  7. Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

    Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo. Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao...
  8. Yaani mashabiki wa Simba wanahamasishana amani kama vile wapo vitani-hahaha!

    "....tuwe na umoja bado tunajenga timu." "....tusiruhusu amani ipotee kwani itakuwa vigumu kuirejesha." Maneno ya wana Simba.
  9. Maajabu: Inawezekana vipi mashabiki wa kigeni kuwa wengi kuliko wenyeji?

    Mwenye macho haambiwi tazama Leo Taifa kwa ujumla wamepata aibu yaani kwenye mechi ya Taifa starz VS DR Congo. Mashabiki wa congo wengi kuliko mashabiki wa Taifa Starz ndani ya uwanja wa nyumbani B.W.Mkapa stadium? Kweli? Hivi ni kwasababu watanzania hawapendi timu yao ya Tanzania au wacongo...
  10. Yanga yatambulisha nguo mbalimbali zenye nembo yao, mashabiki kazi kwenu kuwaunga mkono

    Dondosha like nyingi kwa sheria ngowi…
  11. Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or 2024

    Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or mwaka 2024 Upande wa Makipa akiwa na asilimia 55.9% akifatiwa na kipa wa Madrid A.Lounine akiwa na asilimia 21.9% hapo awali ziliongozwa na kipa was Real Madrid Lounine. kwa asilimia 59% kabla ya kipa...
  12. Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  13. Mashabiki wa Simba na yanga ni Pasua Kichwa.

    Hawa ni changamoto sana. Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka. Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji. Timu zao zikishindwa wanatokwa maneno hatari. Wiki nzima mtu atalaumu hatari. Kila mtu anajifanya...
  14. Wapange kwa ubora wa 1 hadi 5 waigizaji hawa maarufu wa Hollywood

    Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
  15. BASATA inaunga mkono kitendo cha Zuchu kuonesha dole la kati kwa mashabiki wa muziki?

    Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi? Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu? BASATA waache kupendelea.
  16. Mashabiki wa Mpira Tanzania tupunguzeni au ikiwezekana kabisa tuache upesi huu Ushamba ambao Unaboa

    Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu? Na haya ndiyo...
  17. Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

    Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga...
  18. C

    Kwaini mashabiki wengi wanaichukia sana Arsenal?

    Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na hivyo kutoka sare ya 2-2. Inafahamika kuwa Man city hawana fan base kubwa ukilinganisha na timu kama...
  19. Mashabiki wa Yanga

    Habari wadau. Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara mwingine kaja na hoja za kuja kufungwa huku Dar. Hapo awali stori ilikuwa ni Mabululu na habari za...
  20. ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…