mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
  4. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  5. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya wizi mashabiki wa simba na Yanga Amkeni kwenye huo usingizi mzito.

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024. Hayo yalisemwa Dar es...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya ligi, Simba na Yanga mna agenda Moja, mnatuona mashabiki malofa

    Hawa watu wametengeneza mgogoro na wanajua njia ya kuhusuluhisha maofsini. Nimeamini Simba na Yanga zinatumika kisiasa, na Toka Leo sitajisumbua na hizi timu Wakiona derby isiharibu shughuli ya wanawake duniani, macho na masikio yawe Arusha badala ya Chang'ombe uwanja wa Taifa, maana...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

    Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba sc: "Ladack chasambi hatukudai na tumekusamehe"

    Nguvu moja Mara baada ya wanajeshi kuwatoa jasho vyura. Mwalimu Fadlu muanzishe last born wetu hapo kesho dhidi ya walinzi wa jela
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

    Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwambieni kocha Fadlu mashabiki wa Simba tumechoka na ufundishaji wake wa 'Back Pass'

    Hakuna kitu kinachotukera ndani ya Simba kama Back Pass, mpira akishika Razak Hamza anarudisha kwa Camara, Che Malone akianzishiwa mpira anasogea nao halafu anamrudishia tena Camara, Kagoma naye hivyo hivyo, Ngoma naye hivyo hivyo, yaani kurudisha nyuma kwa kipa Camara yaan Back Pass hata kama...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo mashabiki wa Simba

    Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu. Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure Kuna mashabiki walijidanganya ati wanachukua ubingwa msimu huu Utachukuaje ubingwa mbele ya Yanga...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa wachezaji wa Simba ndani ya Bunge

    Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
Back
Top Bottom