mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Arena utabeba mashabiki 20,000 ukikamilika

    Za ndaaani kabisa, uwanja wa Kizimkazi utaweza kubeba mashabiki 20,000 walioketi pindi utakapokamilika. Maendeleo hayana chama
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Soma hii halafu uniambie mashabiki wa timu gani ni mbumbumbu

    Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama.... Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere. Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kamwe sitounyamazia huu Upuuzi wa baadhi ya Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa GSM imedhamini Vilabu Saba NBC hivyo itapanga Matokeo

    Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona tumeshahamisha Goli, baada ya kusema Timu ipewe muda inajengwa, sasa tunasema Mashabiki tuwe Wavumilivu nayo

    Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo. Mpira...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

    Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Leonel kawafilisi ama mmewachoka mashabiki simba??mzunguko vs tabora 10000 serious??

    Mfanyabiashara yuko kazini zaidiiiii Lazima turudishe hela zetuuu endeleen kushabikiaa tu wachezajii
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba, yanga watimba Zanzibar kunogesha tamasha la kizimkazi

    Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC haipo sawa mashabiki jiandaeni

    Kuna sehemu Simba haipo sawa tena kwenye uongozi wa juu,wale wawili hawaelewani Mangungu na Mo Dewji haziivi kabisa,hata ukiangalia kwenye Simba day hawakuongea kabisa,viongozi hawaelewani hata kidogo. Nimeamka nimekutana na habari za moto moto Awesu Awesu ni mchezaji wa KMC FC. Simba walipitia...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kumbe tarehe 8 August, 2024 tulijua iwe isiwe Tutafungwa nao tu ndiyo maana tukaandaa Mashabiki wa Kutetea Kikosi ili Kutuliza hali?

    Halafu Wenzetu wakiwa Kutwa wanatucheka JF kuwa hatuna Akili tunakuja hapa Kuwalaumu wakati wako sahihi 100%.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Sababu ya simba kuwa vile vile misimu yote ni, "comfort zone" inawaponza viongozi na mashabiki

    Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu matokeo. Simba ilivyotolewa na wydad kwa mikwaju ya penati kule morocco enzi zile wydad ya moto...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Na nyie Mashabiki wa SIMBA SC, mnaenda kufanya nini uwanjani?

    Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football. SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
  14. brave one

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  16. danhoport

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki walioingia uwanja wa Uhuru nao walikuwa na tiketi?

    Nimemsikia Kitenge anasema hapa kuwa uwanja wa Taifa umejaa mpaka mashabiki wengine wameingia uwanja wa Uhuru, swali langu je hao mashabiki nao walinunua tiketi au walipewa ofa tu? Na kama walinunua tiketi iweje wakose nafasi? Au tiketi ziliuzwa nyingi kuliko idadi ya watu wanatakiwa kuwepo...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Simba wanatamani supu pia, wanashindwa kusema

    Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
Back
Top Bottom