mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Caf inajua kwamba Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi Afrika mashariki, hiki ni kigezo c kucheza super league, Sherehe za ubingwa zilitikisa africa

    Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana .... Hali hii machoni mwa caf tayari ni...
  2. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dario: Mashabiki wa Singida Big Stars, tulieni..

    Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za kweli. Dario ni mchezaji mwenye kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Singida Big Stars. Tunafahamu, uwezo...
  3. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  7. nyehura

    JamiiForums Tanzania Mahari ya Fahyma Yaongezeka, Mashabiki Wake Wamjia Juu kwa Kumchana Makavu

    Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia. Fahyvanny ambaye wengi...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga tunajua pesa ya pre season hamna tuwekeni wazi mashabiki tuchangie

    Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa. Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season...
  10. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC 'mnatudharau' sana 'Mashabiki' wenu yaani tunasubiri 'Vyuma' vya maana kumbe mnatushushia 'Garasa' Habib Kiyombo?

    Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi? Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda kutufanya Sisi Mashabiki wa Simba SC kuwa ni Madunduna ( Wapumbavu ) sana na labda mnadhani kuwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

    Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’. United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Chelsea wakasirishwa Lukaku kujipeleka Inter Milan

    Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wamekasirishwa na kitendo cha straika wao, Romelu Lukaku kudaiwa kuwa alimpigia simu Kocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi akimuomba amrejeshe kikosini hapo. Inadaiwa kuwa alifanya tukio hilo miezi miwili iliyopita wakati timu yake ikiwa bado ipo kwenye mashindano...
  16. K

    JamiiForums Tanzania NANI ZAIDI? Ngoma Nzito Kwa Mashabiki Yanga

    Yanga Tuna Tatizo? Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu. Je Wangekuwa wanaenda kutwaa...
  17. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Kesho viongozi wa simba wanakwenda kuitambua rangi halisi ya mashabiki wa Simba

    Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final. Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau sioni dalili za simba kufunzu. Ziandaliwe propaganda mapema kwaajili ya demage control japokuwa...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwani kimetokea nini huko Chamazi? Mtaani mashabiki wa Simba wanatembea na mawe.

    InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
  19. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Man. Utd Asaini Mkataba Kuifundisha Austria, Mashabiki Wakasirika

    Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Austria majukumu ambayo atayaanza baada ya kumalizika kwa msimu huu. Pamoja na hivyo atakuwa akiendelea na mjukumu ya kuwa mshauri wa Man United jambo ambalo mashabiki wa timu hiyo wamekasirika na wamekosoa...
Back
Top Bottom