mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kalisheshe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa baadhi ya mashabiki wa Simba SC wasiojielewa

    Ujuaji na tabia ya mashabiki wa soka nchini inaudhi mno. Nitawachukua baadhi ya mashabiki wa Simba Sc kama sample. Tuanze, Jana kulikua na mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Simba Sc na Asante kotoko ya Ghana uliochezwa nchini Sudan, Simba Sc iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2. Baada ya...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi za Ligi ya Ukraine kuendelea bila mashabiki viwanjani

    Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama. Maamuzi ya kuruhusu ligi kuanza yalitolewa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky akiwa na lengo la...
  3. Ndulungu

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa na uongo wa mashabiki ukraine kuhusu hali ya vita vyake dhidi ya urusi

    Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
  4. Mganguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

    Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana. Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu na hawana akili

    Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁 Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya...
  7. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

    Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
  8. CAPO DELGADO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kuchanga pesa za kununua wachezaji

    MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII. Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji. Hayo yametokea Baada ya mchezo wa jana DHIDI ya Yanga Baada ya Simba kufungwa goli 2 kwa 1. Mashabiki wamekuja juu...
  9. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Caf inajua kwamba Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi Afrika mashariki, hiki ni kigezo c kucheza super league, Sherehe za ubingwa zilitikisa africa

    Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana .... Hali hii machoni mwa caf tayari ni...
  10. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakata la Dario: Mashabiki wa Singida Big Stars, tulieni..

    Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za kweli. Dario ni mchezaji mwenye kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Singida Big Stars. Tunafahamu, uwezo...
  11. Lupweko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  15. nyehura

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari ya Fahyma Yaongezeka, Mashabiki Wake Wamjia Juu kwa Kumchana Makavu

    Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia. Fahyvanny ambaye wengi...
  16. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  17. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga tunajua pesa ya pre season hamna tuwekeni wazi mashabiki tuchangie

    Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa. Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season...
  18. TAI DUME

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC 'mnatudharau' sana 'Mashabiki' wenu yaani tunasubiri 'Vyuma' vya maana kumbe mnatushushia 'Garasa' Habib Kiyombo?

    Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi? Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda kutufanya Sisi Mashabiki wa Simba SC kuwa ni Madunduna ( Wapumbavu ) sana na labda mnadhani kuwa...
  20. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
Back
Top Bottom