mashabiki wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba mna tatizo kubwa sana, sio bure

    Nianze kwa kusema nimeiona jezi ya Simba na mimi nimevutiwa na ile nyeupe. Kingine Mimi sio shabiki wa simba. Ila kwa kinachoendelea kimenifanya nione kua kumbe wana simba mna MATATIZO sana katika Akili yenu. Leo Mnamuita SANDALAND anawa hujumu katoa jezi Mbaya Mara kaandika Neno SANDA mbele...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mashabiki wa Simba tunavyosubiri kwa hamu 'Thank You' ya Murtazah Mangungu

    Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo. Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti. Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
  3. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi lile sakata la baadhi ya mashabiki wa simba kumshinikiza Mwenyekiti wao Mangungu kujiuzulu, limefikia hatua gani mpaka sasa?

    Nilipenda tu kujua kwa kweli. Maana kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kumtishia usalama wake! Ila cha kushangaza kwa sasa naona habari ya mjini ni Thank you tu kwa baadhi ya wachezaji ndiyo imetawala! PIA SOMA - Wanachama wa Simba 'Aggy Simba' na Dkt. Mohammed wafungiwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Kaduguda amepiga msumari wa moto kuwa tu mbumbumbu

    Hilo tusi linapunguza nguvu ya mashabiki wa Simba wenye akili zao na kubakiza hao hao mnaowahonga pesa ili wachague viongozi wajinga wajinga. Watu wengi wa maana watajitoa kushabikia timu hii kwa kuwa jina mbumbumbu linadhalilisha sana.
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

    "Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu." "Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)" "Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kwa mashabiki wa Simba

    Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda

    Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa ni Kwanza kuhakikisha Simba SC inadhoofishwa mbele ya Yanga SC ili iangushe Alama ( Points ) nyingi...
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC mnakumbuka hii

    Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

    Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
  10. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mashabiki wa Simba na Yanga wenye Viherehere

    Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao! Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

    Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
  12. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki wa Simba nguvu zao na mijadala wameielekeza yanga na kuisahau timu yao?

    Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho Pretoria? Najiuliza timu yao walishaikatia tamaa siku nyingi na imepoteza mvuto mbele ya...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba ni wakati sasa wa kupumzika na kupumzisha akili zetu kwenye mambo mengine

    Ukisikiliza propaganda za viongozi wa Simba unaweza sema timu ina maajabu ila kiuhalisia hakuna kitu. Masuala ya kusema kila mara tumejitahidi hayana tija. Mashabiki tunaumia sana na watoa maamuzi ndani ya club, mtu unaacha shughuli zako, unatoka mbali ili uisapoti timu ila unachokutanacho...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

    Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, Mangungu na Dewji Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania George Job: Asilimia 99.99% ya mashabiki wa Simba ni wanafiki.

    "Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita" "lakini Jana baada...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele. Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka...
  19. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba acheni kwenda uwanjani mkiwa na matokeo mfukoni ya ushindi. msije mkashangazwa, Jwaneng hana cha kupoteza na wala hana presha

    Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
  20. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kero za mwendokasi, Serikali imeruhusu hawa mashabiki wa Simba kutumia mabasi ya umma huku abiria wakiteseka?

    Nimesikitika sana kuona pamoja na adha ya mwendokasi na mateso wanayopitia abiria, serikali kuondoa/kupunguza mabasi na kuruhusu baadhi kutumika kwa watu wachache na kuwaacha maelfu wamekwama vituoni wakisubiri usafiri. Hata kama kuna abiria ndani, Je vipi kuhusu usumbufu wanaopata abiria...
Back
Top Bottom