mashabiki wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis ana kitu gani cha maana ambacho sisi mashabiki hatukioni?

    Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha. hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli. Mwisho kabisa hatuoni akifunga. Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Yaani mashabiki wa Simba wanahamasishana amani kama vile wapo vitani-hahaha!

    "....tuwe na umoja bado tunajenga timu." "....tusiruhusu amani ipotee kwani itakuwa vigumu kuirejesha." Maneno ya wana Simba.
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

    Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
  4. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na yanga ni Pasua Kichwa.

    Hawa ni changamoto sana. Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka. Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji. Timu zao zikishindwa wanatokwa maneno hatari. Wiki nzima mtu atalaumu hatari. Kila mtu anajifanya...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mashabiki wa Simba na Yanga, wakausanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari anayewahudumia

    Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja. Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai wilayani Kongwa, ambapo mashabiki wa Simba na Yanga, wameamua kutumia utani kukusanya fedha kwa ajili ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

    I will be short Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home. Simba had a bad game. Imagine: 1. Zero shots on target. 2. Low ball possession. 3. Outrun. 4. Outperformed. 5. Referee...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika. Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Sisi wanasimba tunajivunia sana kocha wetu huyu Fadlu Davids. Tunaomba uongozi umuache aendelee kukinoa kikosi chetu kwani tuna Imani naye. Mwaka huu ubingwa ni wetu msimbazi. Naomba kuwasilisha
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba

    Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

    Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba, yanga watimba Zanzibar kunogesha tamasha la kizimkazi

    Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives...
  12. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga imejipata, kuitazama Simba lazima uwe na msokoto wa bangi pembeni

    Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba. Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko uliotukuka. Wame copy na ku paste maisha ya 'siafu.' Hakuna kutegeana, timu ina morali kama haijawahi...
  13. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Wengi humu JF wanaongoza kwa mihemko na Wameingia kwenye Mfumo wa mashabiki wa Utopolo

    Mashabiki wa wenzangu wa Simba acheni Mihemko na lawama kwa viongozi zisizo na msingi kwa kuongozwa na mihemko na maneno ya mashabiki wa utopolo. Kocha Fadlu Davis tokayupo Pre Season kule Misri baada ya game mbili za kirafiki alisema kuna tatizo kwenye safu ya Ushambuliaji na mchezaji...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

    Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi. kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

    Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana. Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal. Dakika 8, Mutala anakosa goli...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba waanza mchango kwa ajili ya kumchangia legend Magoma akate rufaa

    Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa. Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
  17. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Na nyie Mashabiki wa SIMBA SC, mnaenda kufanya nini uwanjani?

    Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football. SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba mkiwaona kina Ayubu vipi kiingereza kinapandaa ama british inawahusu?

    Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba ni hard-working na wengi wana kipato kizuri

    Binafsi nimefanya kazi sehemu nyingi na ofisi. Mashabiki wa simba ni hard working na wengi wana kipato kizuri. Wewe je ,unawaonaje?
  20. Smt016

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wamepekua jezi za Yanga wakaona mkono na tano ila wameshindwa kuzipekua jezi zao wakaona 1 5

    Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
Back
Top Bottom