Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo...
Habari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi.
Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
Ni jambo la kusikitisha sana "unapewa ndege" kama wanavyoiweka, una nafasi karibia 200 za kupeleka mashabiki wenye vibe la kutosha ila unawakosa watu wa kubeba unaishia kuokotezaokoteza maafisa, waandishi wa habari na wazee. Hivi Ndugai anaenda kutoa sapoti gani kwa Simba huko Morocco...
Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco.
Na nimeshangaa sana tu...
Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha.
Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Wakuu sijamaliza, muendelezo ni ule ule baada ya leo wale Makolo kufunga goli la Offside ya mchongo kutoka kwa Kibu akipewa assist na refa.
Sasa game inayofuata kwa Madiba miamba Stellenbosch wanaenda kuukata mzizi wa fitna. Simba SC kwa Stellenbosch hafui dafu nyumbani kwa Stellenbosch. Kwa...
Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.
Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba, wamezidiwa kwa makombe lakini bado wanatamba, ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na mechi nyingi...
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.
Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.
Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya...
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024.
Hayo yalisemwa Dar es...
Habari zenu wadau wa michezo.
Kwa ukweli nimeghadhibika na kauli ya afisa habari wa timu yangu ya SIMBA sc kwa kupost katika mtandao wa Instagram juu ya hii kadhia iliyotokea jana na anaonekana kuchukulia poa tu suala hili bil ya kujali gharama ambazo mashabiki tumezitumia kusafiri kuja Dar...
Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo.
Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio
Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.