marioo

  1. N

    Msanii Mario na meneja wake waukana mkataba wa makubaliano na Kismaty Media

    Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media.
  2. Mambo ni mazito! Marioo ahisi Chino alituma watu wamwekee sumu 'Hii chuki imekuwa kubwa sana'

    Saga la Marioo na Chino Kid linaendelea kuchukua sura mpya, huku Marioo akielezea hisia zake kuhusu uhusiano wao wa zamani. Marioo ametaka mashabiki kumuuliza Chino ni wapi alikosea, akisisitiza kuwa alimuonyesha upendo na kumuunga mkono kila wakati. Marioo anasema amekalia kimya matatizo...
  3. X

    Marioo anyoosha mikono juu kwa Mond "Simba la masimba"

    Nimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana. Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni mwingine. Video ya Marioo Hakuna Matata imetrend No 1 kwa muda mfupi sana YouTube mpaka pale video...
  4. U-Marioo tabu tupu

    Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania. Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli. Wanaweza hata kukupa kazi ya kufua nguo za ndani, unakuta kajaza kitenga cha nguo hadi zaidi ya 40...
  5. Kijana "Marioo" atoa Dukuduku lake kuhusu kukosa mafao kwenye mahusiano yake

  6. E

    TETESI: HAKUNA MATATA YA MARIOO KUPIGWA REMIX NNE

    Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao 1. Diamond 2. Harmonize 3. Alikiba 4. Darasa Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
  7. Marioo afunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Milioni 550 kwa kukiuka Mkataba wa Tamasha

    MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya...
  8. Video: Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, angalia huyu jamaa anadai kuwa ni mtoto wa Marioo

    Mimi Mjanja M1 siwezi kujichosha kuandika paragraph kuhusu hii Habari. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  9. Away by Marioo ft Harmonize 🔥🔥🔥

    2024 naona ime Anza kwa Kasi, nao marioo na harmonize Waka amua kutoa nyimbo mpya. 👉 Hi ni collabo yao ya pili, Baada ya ile naogopa. Nyimbo hii Ina kwenda kwa jina la away, aisee ni Nyimbo Kali mno. 👉Naona harmonize kampoteza marioo kwa Mara nyingine,
  10. HARMONIZE vs MARIOO

    Kwa kawaida tushazoea kuwa kwa masilahi mapana na usalama wa Verse yako usijaribu kumtanguliza "Marioo" katika ngoma. Pia wewe kama msanii usikubali kabisa "Harmonize" akikutanguliza katika ngoma ni lazima yawe mauajii humo ndani. Mjadala ulianzia katika "Naogopa" maneno yalikuwa mengi sana na...
  11. Marioo kuwa makini na Harmonize

    Kufuatia picha waliyopost wasanii Harmonize na Marioo kuhusu ujio wa ngoma yao mpya, ningependa kumpa tahadhari Marioo kuwa Harmonize ni mtu mbad sana kwenye ngoma za kushirikiana na huwa hana huruma hata kidogo. Kama unabishana namimi jaribu kupitia wimbo wa "NAOGOPA" walioimba pamoja...
  12. Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  13. Hanstone is way better than Marioo

    To be honest Hanstone is waaay better than Marioo
  14. Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

    Wote tunamjua Marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata. Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan. Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake. Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta...
  15. Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  16. Aisee video ya demu wangu Remix ya Meja na Marioo ni moto wa kuotea mbali

    Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama. Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mchumba anataka nini ,mchumba anataka helaaaa " Natabiria...
  17. Albam ya Marioo "The Kid You Know" yapata Streams Milioni 100 Boomplay

    Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni 30. Ni rekodi nyingine ya Wasanii wa Tanzania kuvunjwa kwa Afrika Mashariki baada ya Rayvanny...
  18. I Miss: Alikiba anavyomsaidia Marioo Kulamba matapishi yake

    “The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I Miss. I Miss ni wimbo namba 10 alioshirikishwa King Kiba, Alikiba na Marioo wameutendea haki mdundo...
  19. Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  20. Kuna marioo kaumbuka mchana huu

    Astaghafitulah.. Manka kwanini umefanya hivi mkeku.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…