maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Alichoandika Steven Mmbogo kuhusu Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa

    BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN “Kwa ajili ya Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa” Na: Steven Mmbogo - 24 Novemba 2025 Mheshimiwa Rais, Ninakuandikia barua hii kwa unyenyekevu, kwa uwazi, na kwa heshima ya hadhi yako kama Mkuu wa Nchi, lakini pia kwa ujasiri...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano ya chakwera yamefanyika lini vile ?

    maridhiano na huyo
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Chakwera yamefikia wapi, siku 4 alizopewa zinaisha leo

    Dkt. Chakwera alitarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, kwa ajili ya kuanzisha majadiliano jumuishi na wadau mbalimbali wa Tanzania. Mwenye taarifa atupatie sisi wadau na wahanga wa maandamano, au walijifungia Royal Hotel Dodoma na kina...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wenje: Idadi ya vifo vinavyoripotiwa havijathibitishwa, tayari serikali imeweka mikakati ya uchunguzi na maridhiano

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tume ya Uchunguzi ndiyo italeta ajenda kwenye Tume ya Maridhiano

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
  7. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaokataa Maridhiano msiwaite sio wazalendo. Nanyi mlikataa maridhiano kabla ya Uchaguzi na mlikuwa mnaonywa, hamkusikia

    Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo. Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na wanakua wakali na kusema wale wanaosema D9 na kusema serikali iwajibishwe juu ya kile kilichotokea...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jicho la tatu: Watanzania tuingie katika maridhiano kama Serikali ya Samia inavyotaka

    Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake...
  10. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Genge la wauwaji kufikishwa ICC na Mama kujiuzulu, ni vizuri tupendekeza m/kiti wa maridhiano na rais wa mpito pengine Warioba

    Kuna mambo yasiyotarajiwa yanaweza kutokea tarehe 9 Dec ni vizuri kujiandaa Nawaza baada ya uchunguzi kukamilika LAZIMA wauaji watajulikana na kukamatwa kupelekwa na ICC Na pengine mama hataweza kuvumilia hivyo akajiuzulu Kwa mauaji ya raia wake waliuwawa kikatili Hivyo kama mzalendo naona...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini jumuiya ya madola ione umuhimu wa maridhiano baada ya uchaguzi? Kwanini hawakushinikiza maridhiano kabla ya uchaguzi?

    Kwa wenye akili timamu, hapa hakuna maridhiano Ikiwa viongozi wa dini mbalimbali, mzee warioba na wadau mbalimbali walisisitiza kuwepo na maridhiano kabla ya uchaguzi na hawakusikilizwa, ni kwanini jumuiya ya madora haikuona umuhimu wa kushinikiza maridhiano kabla ya uchaguzi na badala yake...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika, hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo

    Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo. Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98% hatuwezi kufanya maridhiano na mtu anaye unga mkono wizi na mafisadi. #D9
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi, zuio la CHADEMA kushiriki siasa halihusu vikao vya maridhiano?

    Nimesikia habari za Maridhiano na nimesikia ujio wa Rais Mstaafu wa nchi jirani kujaribu kukutana na vyama vya siasa nchini na kufanya mazungumzo ya maridhiano. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku kadhaa kuanzia kesho. Wakati hayo yakiendelea sote tunajua kuwa lipo zuio...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

    Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari. - Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania. - Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
  16. JamiiForums Tanzania Hila ya maridhiano ya damu

  17. JamiiForums Tanzania TEC na Wakristo na Waislam Safi hakuna Kurudi Nyuma : Tuliposema Maridhiano kabla ya Uchaguzi, walitubagaza, Wamepora Uchaguzi wataka Maridhiano!

    Hakuna Hakuna Hakuna MARIDHIANO baada ya Mauaji ya Halaiki, HAKUNA HAKUNA !!.
  18. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 HOJA: Tumefikaje Haisaidii, Tunatokaje Ndio Jambo la Msingi Je, wanaokataa maridhiano na mazungumzo wanahitaji nini hasa?

    Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo yote mambo haya yanahitaji mazungumzo, maridhiano, na dira ya pamoja. Tumefikaje hapa? Jibu linaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Maridhiano isikose Mashehe!

    Mashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
  20. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawashauri Wajumbe wa Tume ya Maridhiano walioteuliwa na Serikali wakatae uteuzi au wajiuzulu.

    Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti. Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…