Kwanza mseme hayo maridhiano mnataka na kina nani ?
Kwa sababu hadi sasa hamjakiri kosa la kuiba kura kwa kiwango cha 98%, hamja kubali kua mmeua watanzania walioingia barabarani , mmekamata watanzania wakubwa kwa wadogo na kuwapa kesi ya Uhaini nchi nzima, lakini mmekiri kua fujo zilifanywa na...