maria sarungi

  1. I

    Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  2. S

    PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika. Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
  3. I

    Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
  4. M

    PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

    Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena. Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi...
  5. B

    Tanzania ni ya wananchi wake sio ya watawala wanaowatisha! - Maria Sarungi

    26 May 2025 Oslo, Norway WADAU WA OSLO FREEDOM FORUM MARIA SARUNGI - "TANZANIA NI YA WANANCHI WAKE SIO YA WATAWALA WANAOWATISHA!" Mtetezi wa haki za binadamu na mwanahabari kutoka Tanzania, Maria Sarungi Tsehai, azungumza katika Jukwaa la Uhuru la Oslo kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini...
  6. R

    Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  7. W

    SI KWELI PreGE2025 TLS yamkemea Maria Sarungi

    Je, hii taarifa kuwa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimemkemea Maria Sarungi?
  8. PreGE2025 Maria Sarungi adai kuna mpango wa siri wa kuipa CHAUMMA asilimia 7 ya kura za Urais na viti maalum 20 ili wapate ruzuku

    Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi ya wanasiasa maarufu G-55, unaolenga kukipa chama cha CHAUMMA upendeleo maalum kuelekea uchaguzi mkuu...
  9. J

    SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi ameandika kwenye ukurasa wake wa x kuwa Godbless Lema apokea bilioni 4 kuisambaratisha Chadema

    MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA. "🚨‼️Kaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.🚨‼️ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole...
  10. Maria Sarungi anaitumia CHADEMA kueneza chuki zake binafsi kwa misimamo ya kijinga na kuwaingiza chaka. Yeye sio mgombea wala mwanachama

    Popote utakapotembelea mitandaoni iwe twita au ama Instagram ya maria utagundua ndie mwanzilishi wa vuguvugu zote za chadema ! Hata wakati wa uchaguzi maria alitumia mtandao wa x kumbagaza sana freeman mbowe na kutishia waliokuwa wanamuunga mkono mbowe! Maria sarungi akiwa space amekuwa akitoa...
  11. SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi asuka mipango ya chadema kuvamia mahakamani

  12. Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

    Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao. Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
  13. PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema. Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
  14. F

    Maria Sarungi na Barack Obama ni sawa na Mbingu na Ardhi?!

    Awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia , Wana - Rorya na Watanzania wote kwa ujumla kwa kuondokewa na Mzee wetu , Daktari Bingwa wa Mifupa Professor Philemon Mikol Sarungi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Mengi yamesemwa tayari kuhusu Professor Sarungi na...
  15. PreGE2025 VIDEO: Wasomi wamshangaa Maria Sarungi kwa kushindwa kuja nchini kumzika baba yake

    Wakuu Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia. Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
  16. K

    Maria Sarungi atakuja kupewaga Nobel Price

    Inatupa moyo kujua kuna Watanzania wazalendo wa kweli ambao wameweka sababu za kuwa hapa Dunia. Sio Machawa ambao wanaishi akili na moyo upo kwenye matumbo Namtabiria huko mbele Maria atapewa Nobel price https://youtu.be/FaN8lS_XNX0?si=mIbPy6Vr4WLKVKIo
  17. M

    Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  18. Dada Maria Sarungi Watanzania tunajuana kwa Mambo yetu, ila hatujafikia Kuhatarishiana Usalama pale tunapopatwa na Misiba. Umekosea sana Dada..!!

    Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake. Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
  19. S

    Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu. Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…