Website ya epstein files hi hapa na unaweza kusechi chochote kilichomo kwenye mafaili
https://www.justice.gov/epstein
Nimesechi Tanzania na nimekutana na matokeo mengi sana, najiuliza hao waiokuwa wanatajwa ni kina nani
Walifanya kama utani kwa Maria Sarungi kumtengenezea hadi picha za AI...
Wakuu
Nimekutana na hii taarifa huko X ikiambatana na huu ujumbe:
Kumbe maria alikua akiwauza dada zetu huko ughaibuni Ushahidi mzito umeibuka ukionyesha uhusika wa Maria Sarungi katika mafaili yanayohusishwa na kesi ya Jeffrey Epstein. Taarifa zinadai barua pepe kwa Epstein zilihusisha Miss...
Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii inapunguza kuaminika kwenu mbele yetu sisi wananchi .
Tena wew Maria sarungi na Hilda Newton...
Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa
Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi!
LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO...
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee
2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea
3. Kweli nimefurahi sana...
October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka.
Sasa jana kasema watu wadownload zello ila hajaweka jina la channel ili watu wa join.
Huyu ni mamluki wa mama kilaza.
Ndugu zangu Watanzania,
Acheni Unyumbu, acheni ujinga na uhayawani ,acheni ushamba,acheni umbumbumbu ,acheni kutumika vibaya kama mazuzu. Hivi mtu na akili zako Timamu kichwani na unayejitambua vizuri kabisa na mwenye utimamu wa akili na Mwili unaweza vipi kukubali kuandamanishwa barabarani na...
Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa.
Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea.
Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi.
Imeshafahamika,
Wanapiga CURFEW
Wanazima...
Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani?
Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini.
Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu.
Msikilize hapa.
https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama
Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako
Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu
Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu...
Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tunatokaje?
Tunaona ukatili na utekaji usio na kifani nchini baada ya #OktobaTunatoka kushika kasi! Wanatuuzia woga! Sasa kama sababu tunayo, nia tunayo, uwezo tunayo - je tunatokaje?
Njoo tujadili saa 2 usiku leo!
Leo Maria Spaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Motisha na Ujasiri utatoka wapi?
Utekaji umekithiri na itazidi kuongeza, watu wanasambaratishwa hata kukaa kijiweni ni shida! Je tutoa wapi motisha na kushinda hofu kuelekea Oktoba 29!
Njoo toa maoni!
Leo saa 2 uck
Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake
=====================
Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter) Mwanaharakati Maria Sarungi ameandika kuhusu tukio la kukamatwa kwa kijana anayedaiwa kuwa muumini wa dini ya Kiislamu akiwa amevalia mavazi ya Kipadre wa Kikatoliki kwenye kampeni.
"This is very low! In Mbeya a Muslim man was caught...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.